Wasikate tamaa watengeneze sera thabiti na madhubuti bila kuingiza agenda nyingine zisizofaa kama kejeli ,matusi na chuki juu ya chama tawala katika mioyo ya wananchi . Wasipoweza kuchukua nchi...
Chama cha wananchi (CUF) Jimbo la Arumeru Magharibi, Mkoa wa Arusha kimempitisha kwa kishindo Bi. Arafa Muya kuwa Mgombea wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Arumeru Magharibi.
Akitangazwa rasmi...
Huyu kamanda ndiye alikuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, uko uzi humu JF ulioonyesha kwamba Bashiru Ally akishirikiana na Waziri wa fedha walishindwa kumshwawishi huyu kamanda kujiuza.
Sitaelezea kwa undani lakini pamoja na nguvu ya dola CCM wenyewe wanajua hali si shwari.
Zaidi sana kuna mambo ambayo hawajui yanafuta nyaso zao za mambo makubwa ambayo wameyafanya kwa wananchi...
Ni aibu karne ya leo kupokea baiskeli, chumvi, T-shirt kama kichocheo cha kutoa kura yako.
Tumesikia Wabunge kadhaa tena wa Chama chetu Tawala wakishikiliwa na Takukuru kisa ni kutoa rushwa.
Ni...
Ni wakati wa kizazi kipya sasa kushika hatamu za Uongozi hasa kupitia ngazi za Ubunge.
Marietha Bee ametia nia kuomba uteuzi viti maalumu CCM Mkoa wa Manyara.
Dhamira yake kubwa ni kutatua kero...
Joshua Lawrence kutoka mkoani Mbeya, amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais kupitia chama cha ACTwazalendo.
Kasema endapo atapewa ridhaa ya kuongoza nchi, atashughulikia mambo 2 ikiwemo kilimo...
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Reginald Massawe amesema mbunge wa zamani wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari alimtumia ujumbe mfupi akiuliza kama anaweza kuhakikishiwa nafasi ya kupewa nafasi...
Msafara wa aliyekuwa Mbunge wa Viti maalum Catherine Ruge wa CHADEMA Mkoani Mara umezuiliwa kwa kupigwa Mabomu na Jeshi la Polisi Wilayani Serengeti kipindi akirejesha fomu ya Kuwania Ubunge...
Leonard Toja Manyama amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Bwana Manyama ni mwalimu na mtaalam wa mipango miji, kauli mbiu yake niamini...
Baadhi ya wana CCM wanaotafuta nafasi za Ubunge, wameanza usumbufu. Mimi siyo mwana CCM lakini leo napigiwa na mtu anayejitambulisha ni Mkurugenzi wa Halmashauri na anataka kugombea na anaomba...
WanaJF salaam,
Nimekuwa kimya kidogo kuwapatia ABC za 2020; hii ni kutokana na majukumu mengi ya Kitaifa.
Najua mnajua kinachoendelea nchini hasa kwa upande wa Upinzani serious ambao ni Chadema...
Naona huko Zanzibar mnaleta mambo ya ki-chifu.
Abeid Amani Karume-Rais wa Kwanza Zanzibar
Aman Abeid Karume- Rais Mstaafu Zanzibar
Ali Hassan Mwinyi -Rais Mstaafu Zanzibar na Tanzania
Hussein...
Huyu jamaa swala la ajira ameliona lakawaida sana bora ajenge barabara, madaraja na flyover na kununua wapinzani tu. Mwenzake jk swala la ajira alilikumbatia sana kiasi ambacho kila mwaka walimu...
Wasifu
Jesca David Kishoa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020.
Elimu
Ruaha...
DG,
Ninapenda kukujulisha kwamba katika ufuatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, leo TAKUKURU(M) Kigoma katika jimbo la uchaguzi la Buhigwe tumekamata Tsh. 210,000/=...
Wakili Simba Richmond Akaro Neo, akionyesha mbele ya waandishi wa habari fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA leo Ijumaa 10/07/2020, Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni...
Bunge limekwisha kuvunjwa, uwanja wa kisiasa sasa uko wazi ukisubiri wagombea watinge na kuanza kushindana.
Miaka 5 ya utawala wa CCM na Serikali yake, chini ya Rais Magufuli, nayo inafika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.