Ukonga ni miongoni mwa majimbo 3 ambayo yapo katika Wikaya ya Ilala. Wengi wa wakazi ni wa kipayo cha chini na wachache cha kati.
Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi, kama kawaida mengi hujitokeza...
Chama cha Mapinduzi mwaka huu kimepata kazi ya ziada tangu kilipofungua mlango kwa watia nia kuchukua fomu za kuomba nafasi ya kugombea ubunge.
Tangu tarehe 14 mwezi huu ofisi za chama zimekuwa...
Ndugu wanamabadiliko wenzangu mlioko ndani ya vikao vya maamuzi CHADEMA chonde chonde mnapoenda kwenye kwenye kura za kuteua mgombea wa urais tafadhalini kazi moja tu mlionayo fitina na figisu...
Katika hali iliyowashangaza wengi, watia nia wapatao 55 wamejitokeza kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, ili wapitishwe kugombea Ubunge Jimbo la Chato.
Ikumbukwe kwamba Jimbo la Chato...
Tumeshuhudia katika kipindi kisichozidi wiki moja, Rais Magufuli akifanya teuzi na tengua, za nafasi zaidi ya mia moja, katika nafasi zake za uteuzi, kama vile maRC, maDC, maDAS, maDED nk.
Kitu...
Chama cha NCCR Mageuzi kimeingia choo cha kike kwa ahadi ya mbeleko toka CCM. Eti watapata wabunge 15 na kuwa chama kikuu cha upinzani.
Tunatambua Serikali ya CCM itatafuta uhalali wa demokrasia...
Membe anahoji:
"Je Tupo tayari kwenda kwenye Uchaguzi bila kuwa na tume huru?
Tume huru ya Uchaguzi ndugu zangu, maana yake ni kwamba uwe na Tume katika ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa ambayo...
Leo tarehe 17 Julai 2020, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu na Mwanachama wa ACT Wazalendo Ndugu Bernard Membe atazungumza na waandishi wa habari.
Ukumbi: Ofisi ya ACT Wazalendo Magomeni, Dar es...
Kumekucha CHADEMA.
Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesema hajachukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA lakini hiyo haimzuii kugombea ubunge jimbo hilo hilo kupitia...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Taarifa kwa Umma
Jeshi la Polisi maeneo mbalimbali ya nchi yetu limepeleka barua kwa viongozi wetu ngazi za Wilaya wakiwataka kuwapelekea Majina ya...
Kwa mara ya mwisho alionekana Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akilalamika kuibiwa kura 2015 , naona sasa amekuja na mkakati mpya .
Mytake : Wassira bado yupo
Jana niliombwa na leo nimekubali rasmi kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo. Huu ni wakati muafaka kwangu wa kushiriki katika...
HABARI!!!!
Mimi binafsi nafuatilia saaana siasa za Mbeya Tangu enzi za Akina Mpesya siasa za Mbeya zinavutia saana, Nafikiri kila Chama sasa kinajipanga ili kuchukua hatamu jijini Mbeya ni...
Habari kamili hii hapa
Frank George Mwakajoka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tunduma kwa miaka mitano ( 2015 – 2020.)...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu October,Siku ya jana tarehe 16/7/2020 Mwana Diplomasia na Mchambuzi wa masuala ya Siasa Goodluck Ng'ingo alichukua fomu na kurudisha ili aweze kupata ridhaa ya kugombea...
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli...
Taarifa kutoka Kongwa zinaeleza kwamba mpaka jana watia nia 8 walishachukua fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kongwa ambalo lilikuwa chini ya Job Ndugai ambaye pia alikuwa Spika wa bunge la 11 ...
Ukiona kunguru wengi sehem ujue kuna mzoga.
Kwenye mada: Kwanza kabisa tunapaswa kukumbuka kuwa hii ni rekodi mpya kwa watia nia wa Ubunge.
Katika tafiti za kawaida tu inaonyesha ukosefu wa...
Kuna watu ni wazito wa kuconnect dots. Ngoja tuwasaidie.
Tabora pamepata umaarufu wa mitandaoni hivi karibuni, kutokana na mbwembwe za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa, Aggrey Mwanry.
Umaarufu huo haukuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.