Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania.
Mwaka 2015 wakati...
Kwa mujibu wa muongozo wa watia nia wa nafasi mbalimbali wa CHADEMA wa mwaka 2012, Mtiania kwa nafasi ya Urais anapaswa kutangaza nia yake katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja kabla ya tarehe ya...
Tundu Lissu ndio tumaini pekee la sisi wanyonge kukombolewa. Ni yeye pekee anayeweza kwa mara nyingine tukaamka vitandani asubuhi kwenda kupanga foleni kwa ajili ya kupiga kura kama tulivyofanya...
Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye...
WAJUMBE wa mkutano Mkuu wa Cha NCCR-Mageuzi Jimbo la Vunjo kwa kauli moja wamechanga fedha kiasi cha Sh 370,000 na hatimaye kumchukulia fomu Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake Mhandisi...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.
Katibu wa CCM wilaya yaHai mkoani Kilimanjaro, siku ya leo baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa udiwani kupitia viti maalumu, amewatangaza rasmi madiwani wa...
Salma Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mchinga, Mkoani Lindi kupita Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Machi 2017, Salma ambaye ni Mjumbe...
Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania...
Tumemsikia mwenyekiti wa CCM Kinondoni akisema majina yote yanakwenda Dodoma na watawachunguza washindi wa kura za maoni kuhoji ushindi wao wameupataje pataje?
Kwa maana nyingine wanatumia vyote...
Poleni kwa msiba wa Taifa, Mwenyezi Mungu atufariji sote kwa kuondokewa na Rais wetu mtaafu mzee Mkapa, RIP.
Niende kunako hoja yangu juu ya UCHAGUZI ujao, nionavyo mimi, uchaguzi huu unaweza...
Mtia nia Udiwani katika Kata ya Mwamkulu iliyopo Manispaa ya Mpanda ambaye amepata kura 5 nusura apoteze fahamu baada ya kuanguka ghafla alipokuwa akitazama karatasi za kura za Mtiania Kalip...
Amesema chama chao katika uchaguzi wa 2020 kinakuja na agenda ya “Furaha kwa Watanzania inawezekana”
Pia Professa Lipumba amewaomba CCM kuwa na siasa za ustaarabu kitapoanza kipindi cha kampeni...
Nimefikiri na kujiuliza sana kwanini baadhi ya marafiki wa kizungu wanaonekana waziwazi kumtetea sana Lissu. Je, huyu Lissu amewaahidi kitu gani atakachowapa kutoka nchini kwetu ikiwa atachaguliwa...
MADIWANI saba katika majimbo ya Shinyanga Mjini na Solwa mkoani Shinyanga wameangushwa katika uchaguzi wa kura za maoni.
Kwa upande wa Jimbo la Shinyanga Mjini madiwani watatu ambao ni Lucas...
Simon Simalenga achukua fomu ya Ubunge Kawe, Simalenga ambaye ni Afisa Uhusiano wa CLOUDS. Ni Muhitimu wa Stashahada ya Uzamili katika Masuala ya Menejimenti ya Uhusiano wa Kimataifa Chuo cha...
Chama dola kilichoshindwa kudhibiti rushwa hata kwa Wajumbe wake kimeibuka na mpango mkakati mpya wa kupata kura za Wajumbe kwa kutumia ndumba!
Maelezo kamili haya haya kwenye attachment.
Eti...
Ninaandika hoja hii ili kuibua mjadala wa wazi kuhusu dhana ya Uchaguzi Huru na Haki
Ili kuelewa hasa kuhusu uchaguzi HURU na HAKI ni lazima tuelewa dhana ya Uhuru na Dhana ya haki
Nianze na...
Hili ni tatizo linalomgharimu Tundu Lissu katika siasa zake za kila siku.
Wengi wa wale wanaomuunga mkono ni mashabiki tu wa CHADEMA lakini siyo wanachama na unazi wao unaishia mitandaoni kama...
Takribani madiwani 20 wa chadema waliojiunga CCM kuunga juhudi za Rais Magufuli wameangukia pua kwenye kura za maoni huku eti wakidai wamehujumiwa na wajumbe.
Hatua hiyo imedhihirisha wazi kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.