Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kinakusudia kuweka wagombea katika majimbo na kata zote Tanzania Bara na Visiwani katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi oktoba 2020 (Mwaka...
Kamati Kuu ya ACT Wazalendo inafanya kikao leo 02 Agosti 2020. Kikao hichi ni maandalizi ya Mkutano Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 05 Agosti 2020.
Kikao kinafanyika Lamada Hoteli jijini...
Mkutano wenu unaoanza leo umebeba matumaini kwa Watanzania wanyonge sio wanyonge wa CCM kina MO.
Umebeba matumaini kwa wafanyakazi wa umma ambao hawajaongezewa mishahara kwa zaidi ya miaka mitano...
Wanataka twende naye akatetee ACACIA kutufisadi?
Ni ngumu kwenda naye; wanataka twende naye kwenye sera ya kuwatetemekea wazungu. Anaweza toka Ubelgiji kwenda UK na Marekani kuongea, ila kutoka...
Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma No.13 ya mwaka 1995.
Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini...
Lissu anastahili na anafaa kupitishwa na CHADEMA kuwa mgombea wao wa Urais
Sababu kuu kabisa ni mpinzani wa dhuluma halisi tangu utoto wake, hapendi watu kuonewa Wala kuonea,anapenda Haki na ndio...
Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya...
HUwa naamini, kipimo cha mtu kutoka CCM kuja Upinzani na kuaminiwa kuwa ameachana na CCM lazima afanye mambo mawili.
1: Akae upinzani angalau kwa awamu mbili bila kuonyesha uswahiba wowote na CCM...
Mwaka huu kama umegombea kwenye kura za maoni, ukashinda halafu kamati kuu au wenye chama wakakata jina lako huna mbadala kama iliyokuwepo siku za nyuma, kwamba utakimbilia upinzani ugombee.
Kama...
Inapotokea mtifuano ndani ya chama, wana CCM ambao hawaridhishwi na maamuzi fulani ya chama chao, hawako tayari kujenga nguvu ya kuipinga CCM kwa kuungana na vyama makini na vikongwe vya upinzani...
ACHUNGUZWA NA TAKUKURU MKOA WA MBEYA
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mbeya inamchunguza Bw ADAM HUSSEIN SIMBAYA wakala wa mgombea wa nafasi ya viti maalum UVCCM mkoa wa Mbeya...
Masoud Kipanya katika kipindi cha Cloud Plus wakati wa kura za maoni za CCM nilimnukuu akisema Wajumbe wa CCM huenda hawakupewa rushwa kabisa lakini walikuwa wanajua Mgombea yupi ana hela kwamba...
Tayari vyama vingi kama si vyote vimefungua pazia kwa watia nia kuelekea ucjaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kumekuwa na pilikapilika za huku na kule kwa wanachama wa vyama vya siasa kutia nia ya...
Kanda ya ziwa ni ya Magufuli Mwanza, Shinyanga, Kagera, Mara na Tabora na Simiyu.
Membe anachukua mikoa ya kusini ya walima korosho Lindi, Ruvuma, Mtwara, kwa msaada na nguvu ya Zitto Kabwe Membe...
Kuna barua inazunguka inayoonesha kuwa ni ya William Ngeleja aliyekuwa mbunge wa Sengerema akilalamikia zoezi la kura za maoni jimbo la Sengerema.
Katika barua hiyo Ngeleja analalamika kuwa...
Wanabodi.
Nawashauri Chadema kwamba:
Andaeni ajenda msiandae wagombea. Wagombea wakipatikana kupitia michakato mliojiwekea watembee katika ajenda zenu kuu kulingana na jinsi nchi ilivyo kwa sasa...
Ndugu zangu,
Japo watakasirika lakini hamna jinsi,huu ndio ukweli japo wenyewe wanajinasibu kuwa vyama mbadala kushika dola lakini kiuhalisia wote akili yao ni kila chama kinataka kuwa chama...
Huku tukiwa tunasubiri mkutano mkuu unaze hapo kesho, nipende kuwajulisha kuwa chama kama chama kina weledi na intelijensia ya kutosha hasa wakati huu wa vikao vya chama.
Chadema ni taasisi imara...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa mstaafu, Semistocles Kaijage, amesema daftari la wapiga kura lina wapigakura milioni 29,188,347.
Nipashe.
Kimahesabu hapo najua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.