Nimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa...
Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki...
Hayawi hayawi sasa imekuwa hatimaye Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu achukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini.
WanaTanga Mjini hatuwezi kukubali kazi kubwa uliyoifanya iende buree...
Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia Vyombo vya Habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni.
Helkopta itumike kidogo -...
RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana)...
Ahadi za ACT Wazalendo Jamhuri ya Muungano ZITATEKELEZWAJE?
1. Elimu ya Juu: Kufuta mikopo yote ya miaka ya nyuma iliyotolewa kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu na kuanza kutekeleza Mfumo mpya wa...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu...
Dhambi nyingine ni za kujitakia tu, KC Zitto unaamini kabisa BKM amekuja ACT wazalendo ili amuunge mkono mgombea wa CHADEMA?
Hiyo unaweza kuwadanganya watoto wadogo lakini sisi tulioshiriki...
Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk Uchaguzi wa mwaka huu.
Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma...
Inachekesha Sana kwamba Kama nchi tuna chombo Cha kupambana na Rushwa Ila Hadi Leo tunavyoongea Hakuna mtia Nia wa chama chochote aliyepelekwa mahakamani kwa tuhuma za kugawa Rushwa ingawa Rushwa...
Habari wadau,
Nimeona niseme jambo kuwa vyama vya upinzani Tanzania vyote vipo kimaslahi zaidi; hamna chama kipo ili kimtumikie mwananchi.
Na kama kweli wapo ili kumtumikia mwananchi kwa yale...
Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko...
Ilani 2020: ACT-Wazalendo Kujenga Utajiri wa Jamii kupitia Ushirika wa kisasa.
Kuongezeka kwa tofauti za kipato huku matajiri wakizidi kunufaika na mifumo ya kiuchumi iliyopo pamoja na ukosefu wa...
Wakati joto la uchaguzi mkuu likizidi kupanda, matumbo ya waliopendekezwa na mikutano mikuu ya majimbo na kata nayo yanazidi kupata moto.
Ni siku kadhaa zimepita tangu mchakato wa kura za maoni...
Kuna maneno nimemsikia katibu akiongea wakati Tundu Lissu anakabidhiwa fomu, nikaona ni busara ya hali ya juu sana ambayo hata Madiwani na watia nia Ubunge wangepewa hiyo fursa.
Nimemsikia...
Ni wazi kuwa Lissu amekuwa mwanaharakati wa kutetea haki za wananchi kwa miaka mingi, pia ni wazi kuwa kwa sasa yeye ndiye mwanasiasa pekee wa upinzani mwenye uwezo wa kumtikisa Magufuli.
Lakini...
CHADEMA WAMEONYESHA UBINAFSI: NI KUHUSU WIMBO WA TAIFA.
Na, Robert Heriel
Nimesikitishwa sana na kile nilichokiona leo kwenye mitandao ya kijamii. Ni video moja ikiwaonyesha wanachama wa CHADEMA...
Kwanza kwenye vita hakuna kulemba hata sisimizi ni wa kumfinyanga finyanga.
CCM tumejiandaa kufanya kampeni za kijeshi nchi nzima usiku na mchana nyumba kwa nyumba kitanda kwa kitanda...
Kwa mtazamo wangu, Lissu ana nafasi ya kupata kura nyingi zaidi katika mikoa hii ifuatayo:
1. Dar-es-Salaam (anaweza pata asilimia 70 mpaka 80 ya kura zote za mkoa huu)
2. Arusha(75-80%)
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.