Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba
Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Same Kilimanjaro Yenye Lengo La Kusikiliza...
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya...
Ukinunua dai Risiti,
Ukiuza toa Risiti.
Mhe Mjumbe habari,
Kwanza, natumia jukwaa hili kukupongeza wewe binafsi pamoja na wenzako wote kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Mhe Rais Dkt...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akiizundua Sera mpya ya Elimu ya Taifa hilo amezitaka mamlaka zinahusika kuhakikisha mashirikiano baina ya Serikali na...
wasikilizeni ktk hotuba yao.
Tayari wamejitoa kwenye baraza la vyama vya siasa.
ACT wanalaumu kwamba imani waliyompa Mama Abduli na Ccm wamelipwa kwa uchaguzi kuharibiwa na mauaji.
Serikali...
Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea.
Mgogoro huo umetokana...
Baraza la Madiwani la halmashauri ya wilaya ya Ludewa sambamba na kamati ya Ushauri wilaya limepitisha azimio la kugawa Jimbo la Ludewa na kuwa majimbo mawili ya uchaguzi ili kuweza kusogeza...
Naamini hapa ndipo mahali pa kuwa wazi na kueleza kilichopo mtaani ili viongozi wetu kama sio kujirekebisha basi watafute solution ya kudumu kwenye mambo mbalimbali.
1. Raia wengi, wanaamini mtu...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imejipanga kutoa huduma kwa wananchi wote kwa kuzingatia mgawanyo wa Jimbo la Dodoma Mjini wenye mapendekezo ya kuligawa jimbo hilo kuwa Jimbo la Mtumba lenye kata 20...
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya...
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Kutetea Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema utaratibu wa ugawaji majimbo unaotumika kwa sasa sio sahihi hivyo vigezo vinavyotumika...
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke...
TORONTO, Nov. 20, 2024 (GLOBE NEWSWIRE) -- Montero Mining and Exploration Ltd. (TSX-V: MON) (“Montero” or the “Company”) is pleased to report a US$27,000,000 settlement has been reached with the...
Wakuu,
Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, amesema kuwa ripoti ya tathmini ya namna redio zilivyoripoti Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, iliyotolewa na Shule ya...
Wakuu
Msanii Profesa Jay amesema baadhi ya Watu wanaowashambulia Wasanii kama Ay na wengine kutokana na kupanda kwenye majukaa ya Vyama vya siasa, hawawatendei haki kwasababu Tanzania ni nchi ya...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi- Victoria Mwanziva ameendelea na ziara ya Kata kwa Kata katika Wilaya ya Lindi; na ziara hii inafanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo na imetoa uwanda mpana wa kusikiliza na...
Utabiri ni kuona yale yajayo kiunaga ubaga. Utabiri lazima utimie. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutabiri na kubashiri.
Kutabiri ni jambo la rohoni wakati kubashiri ni jambo la mwilini. Kwenye...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, amesema mtaa hautaki digrii wala PhD ili mtu aonekane kijana mchapa kazi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
My Take: Hizi kampuni za Matapeli zipigwe marufuku na Wale Wanaoshirikiana Wasakwe Popote Nchini Ili Wafurushwe hata kama Ni Watanzania.
Huu umegeuka ni upuuzi na dili za Vibaraka wa Mabeberu 👇👇...