Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Uongozi wa Shule na Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Nachingwea iliyopo Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wamemshukuru Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa kwa kuwapa kiasi cha Shilingi...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Wakuu, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamepokea, kujadili na kupitisha pendekezo la kugawa Jimbo la Solwa, kuwa na majimbo mawili ya uchaguzi ambayo ni Solwa na Itwangi...
0 Reactions
1 Replies
115 Views
Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
3 Reactions
76 Replies
4K Views
Wakuu Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey ameendelea kusisitiza kuwa Uchaguzi Mkuu uko pale pale Tunafanya uchaguzi miaka yote sio kwasababu ya TAMKO au MATAMKO...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
  • Redirect
Kamati Kuu ya Chama hicho imeamua kuwe na Kurugenzi ya Mambo ya Nje na Diaspora na kuwe pia na Kurugenzi ya Mawasiliano na Uenezi. Hapo Awali kulikuwa na Kurugenzi ya Mawasiliano, Itifaki na...
0 Reactions
Replies
Views
Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko...
7 Reactions
63 Replies
929 Views
Iko hivyo na haitakuja kubadilika, Fuatilia Makongamano yote ya Mamluki yanayofanyika leo, halafu linganisha na Kongamano la Chadema linalofanyika Mlimani City, Utanishukuru.
5 Reactions
24 Replies
892 Views
Taasisi ya Tulia Trust Chini ya Mkurugenzi wake ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt...
0 Reactions
2 Replies
146 Views
TRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA 6 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 12.03.2025 amewasilisha mafanikio ya TRA kwa...
2 Reactions
6 Replies
165 Views
1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB ni vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. 2. Ukifuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu kuwa kituo...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Leo, Jumatano Machi 12.2025 kesi za kupinga matokeo na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika Novemba 2024, zilizofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo zinaanza...
0 Reactions
1 Replies
102 Views
Naona anayesaini taarifa zote za Kamati za Kamati kuu na Halmashauri Kuu ni Issa Haji Ussi (GAVU) Je, Yuko Wapi Amos Makalla Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa?
0 Reactions
6 Replies
505 Views
Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi) Posho kujikimu — Sh250,000 (siku) Posho kitako — Sh220,000 (siku) Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs) Mkopo...
27 Reactions
69 Replies
3K Views
Ni vile tu Watanzania wengi ni wajinga na sio wasomaji sana wa vitabu na wafuatiliaji wa masuala ya nchi yao. Mlioshtuka leo kuhusu habari ya Tanzania kununua umeme nje kwa ajili ya matumizi ya...
26 Reactions
101 Replies
2K Views
Rais Samia ametengua uteuzi wa katibu tawala wa mkoa Lindi ndugu NGUSA SAMIKE. Naona mama anatupa jongoo na mti wake kabisa.
5 Reactions
131 Replies
20K Views
Sina cha kusema Wauzaji wa dawa za kulevya watakupiga fitina kupitia kwa wanasiasa wenye ushawishi kwa Rais nawe utatupiliwa mbali Hao uliowaweka hadharani wapo kwenye mnyororo wa vigogo...
34 Reactions
69 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…