Mnaodhani ipo siku rais Samia ataleta maendeleo au kulikomboa hili taifa mtasubiri sana
Hata kama atashinda hadi 2030 urais bado hamna jipya atakalofanya nakuambia mtakuja kuukumbuka huu uzi...
Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.
Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI
Kumbuka:
1...
Waliotaka mhe Rais aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?
Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.
Haiwezekani tuwe...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) cha Tanzania kinashika nafasi ya tisa duniani kwa ukubwa
Hapa kuna orodha ya vyama kumi vikubwa vya siasa duniani kulingana na idadi ya wanachama:
Bharatiya Janata...
Katika Muendelezo wa Mikutano ya hadhara inayoendelea kwenye Oparesheni 255 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , ambayo sasa imeingia kwenye Mkoa wa Katavi, Tundu Lissu ameyataja...
Habari za mapumziko mabibi na mabwana.
Jambo moja nataka watanzania wafahamu ni kwamba hii CHADEMA ya sasa inayoongozwa na FAM imechokwa na watawala hivyo watawala wapo Kazini kubrand Chama cha...
Nawaza na kushauli pia, Lissu na Zitto waunganishe nguvu kwa maslahi mapana ya Nchi ili pamoja na mambo mengine, waikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Mfano, Chadema wakubali kumuunga mkono...
Arusha mtu akiwa anakunywa pombe grocery tofauti tofauti utasikia ohh yule bilionea grocery au baa gani wasiomjua kumbe anakunywa hapa bia mbili kule mbili
MAREKANI na Ulaya tajiri hupimwa kwa...
Kwema wakuu…
Anaandika mwandishi mkongwe, Pascal Mayalla kwanini Steven Wassira hujulikana pia kama Tyson.
“Mimi nimeingia newsroom Januari 2, 1990, huu ni mwaka wangu wa 34, hivyo Wasira...
Na kwa safu ya uongozi na wagombea uongozi wake kwenye ngazi ya urais na umakamu wa Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar,
Ni wazi CCM madhubuti imejipanga vizuri mapema...
Mwenyekiti mpya wa CHADEMA ameshatoa masharti ya nyie kurejea kwenye chama chake. Masharti hayo ni magumu na hata kama mtarejea CHADEMA, hakuna uwezekano wa nyie kuwa wagombea wa ubunge wa majimbo...
Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo wa uzalishaji na kuongeza thamani viwanda 53...
Itakumbukwa kwamba mwaka 2013 nilivuliwa nafasi za uongozi ndani ya chama cha upinzani CHADEMA, na Machi 2015 nilifukuzwa rasmi na chama hicho. Katikati ya kufukuzwa kwangu ni waraka ulioandikwa...
1. Ni muumini mkubwa wa Katiba Mpya inayotengeneza mifumo imara na sio kuwapa nguvu Wanasiasa. Suala hili linaungwa mkono na idadi kubwa ya Watumishi wa Umma ikiwemo vyombo vya dola. Watendaji...
Kama ni kweli ulifanyiwa figisu kwenye uchaguzi wa Kanda ya Nyasa nikupe pole sana ndugu Msigwa. Yote kwa yote, wazo la kuhama kwako CHADEMA kwa maoni yangu ni kuwa ulifanya maamuzi ya haraka...
Wanaukumbi.
KUONGEA KUHUSU NINI?
Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa...
Tatizo la viongozi hawa Mama zetu ni kwamba wanaogopana wenyewe kuliko kuogopa viongozi wanaume. Tuone tu mfano wa huyu Mama
Viongozi wote wanawake ambao yeye mwenyewe ndiye alikuwa anataka kuwa...
Moja ya sera moja nilicheka cheka sana eti walifanya intoduction ya kodi ya miamala ya simu ku discourage the use of cash so moja ya kazi ya hii kodi ni watu wafanye malipo bila kutumia cash...
Ni ukweli ndani ya chadema wanachama wamegawanyika mapande ya kiuchaguzi na kampeni. Ninatoa ushauri rahisi wa kutibu majeraha bila nguvu kubwa kama ifuatavyo:
1. Kushughulikia saikolojia ya...
Sasa hawa jamaa walituhaminisha kwamba mama kafanya kila kitu inapofika muda wa yeye kuhojiwa kwamba yeye kama mbunge kafanya nini muda wa uongozi wake imekuwa anachafuliwa hii nchi hii ina comedy...