Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.
Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu...
Ukiangalia Ratiba kwa sasa imeshakua ngumu, Reform ni mchakato mkubwa unaohusisha mpaka Bunge,
Bunge limebakiza takribani miezi sita tu kuvunjwa, hizo sheria na katiba atarekebisha nani?
Mda...
Nimepata maono ya ajabu sana ya kimungu kuhusu Mh Mbowe.
Nimeotehswa Mbowe kavaa jezi namba 17 sijajua maana yake kwa undani lakini nimeona ni share hapa
Jinsi machawa sorry CCM walivyplazimika kumpitisha mtu wao, kuna haja ya kufanya uchaguzi na kupoteza fedha na muda?
Kama wanaogopana na kuburuzana uchaguzi utanusurika?
Najiwazia tu. Kama...
Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lisu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa.
Vikao...
Mgombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa na makamu mwenyekiti anayemaliza muda wake, Tundu Lissu, amemteua Godbless Lema kuwa wakala wake katika uchaguzi unaofanyika leo.
Kuteuliwa kwa Lema, ambaye si...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amezungumza na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe baada ya matokeo kutangazwa.
Pia soma Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza...
Natoa onyo kwa kikundi kinachoratibu Kufukuza wengine ndani ya CHADEMA, sitaki kuamini kwamba Katibu Mkuu na Mwenyekiti mpya mnaweza kupanga jambo hili duni na la kijinga, kemeeni jambo hili...
Dr Mwakyembe ataka watu waache kuuliza alipo Azory Gwanda.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amewashangaa watu wanaofuatilia mahali alipo mwandishi wa habari...
Ukitafakari sana, bila kuwa na utando wa kishabiki kichwani, Lissu anaongea kitu cha maana na hapa tayari ameonyesha ku-compromise na CCM. Nimesikiliza mahojiano yake kwa makini sana.
Pendekezo...
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja ,
Soko Kuu la Wilaya ya Kyela kwa miaka yote ya Uhai wake lilikuwa mali ya Halmashauri , lilikuwa ni mali ya umma...
Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!
Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu...
Siasa ina athari kubwa kwenye mfumo wa maisha ya mtu wa kawaida katika maisha ya kila siku kwa njia mbalimbali, ikiwemo:
1. Uchumi na Ajira: Sera za kisiasa, kama kodi, ruzuku, na sheria za...
"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi...
Mrema ataka JK aendelee na urais Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema amesema hakuna ubaya Rais Jakaya Kikwete akiacha kuongeza nchi kwa muda ili akamilishe...
Hamjambo Watanzania!
Ni dhahiri joto la uchaguzi ndani ya chama cha upinzani cha CHADEMA limepamba moto na katika ufuatiliaji wangu kwenye mitandao ya kijamii hususani Youtube,X na Instagram...
Pamoja na Ukweli kwamba Jimbo la Kyela ni sehemu ya ngome imara za Chadema kwenye Mkoa wa Mbeya ikiwemo pia Kanda ya Nyasa , lakini mara zote Jimbo hili husahauliwa kwenye ziara muhimu za Viongozi...
Wasira anadhihirisha dhahiri 80 years old man can not think and he is mentally tired.
Kama vijana kama Christian wakipewa nafasi wanakosa chembe ya hikima kwenye brain wasira anakila dalili...
Katika juhudi za kuimarisha miundombinu na kukuza uchumi wa Taifa, ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) umeendelea kuwa kielelezo cha mafanikio makubwa chini ya uongozi thabiti wa...