Wakuu
Mwanasiasa mkongwe, Profesa Tibaijuka amemwambia mtangazaji wa Wasafi TV, Charles William kuwa hatakii mema baada ya kuulizwa kuhusu tathimini yake juu yake jinsi unavyokwenda.
Nakumbuka kwenye interview moja ulisema "nikimuangalia Lissu nabaki najiuliza ndio huyu huyu?"
Mbowe umedhalilishwa sana.
Umefukuzwa kwenye nafasi yako kwa ghirba na hila.
Umeitwa mlamba asali...
NB. JK ameonekana rasimi ni adui wa Demokrasia nchini, aliamia kuchukua mamlaka ya kujimilikisha uenyekiti wa kikao na kutoa pendekezo la udikteta kwa kulazimisha kupitishwa majina ya wagombea...
Kwako Rais wa JMT,
Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan,
Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia kufika muda na wakati tukiwa tu wazima wa afya na kuendelea kulijalia...
Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia
Happy New Year Tundu Lisu
Ahsanteni sana 😄
Habari,
Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu.
Alichokifanya...
Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli.
"Sasa hivi tayari inafahamika kwamba Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wake Mkuu kilipitisha kwa kauli moja na kumtangaza Samia Suluhu Hassan...
Kwa Miaka yote ya Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA amekuwa akifadhiliwa na Makada wa CCM katika mambo mbalimbali ya Kisiasa na hata Kikanisa
Hii ndio sababu alimshukuru Mwenyekiti wa CCM Mpendwa wetu...
Mh Waziri Mwigulu Nchi Ina mambo mengi sana yaliyohitaji matumizi sahihi ya Brain.
Katika Utulivu wa Akili na Mwili wako, hivi kweli hata ukikaa unaweza kusema una Kila sababu ya SAINI yako...
Tufuatilie Mbashara Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg Stephen Wasira Mkoani Dodoma.
https://www.youtube.com/live/dqbzX1ecfZc?si=mXnTADLSIu9MFw7X
Mwenyekiti mteule wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza uadilifu wa John Mnyika na namna ambavyo aliendesha Uchaguzi wa ndani ya Chama.
Soma, Pia: Tundu Lissu...
Wanabodi,
Bado niko hapa mjini Dodoma, nikijivinjari katika viwanja vya Bunge kwa haya na yale.
Japo mpaka sasa kitendawili cha Waziri Mkuu bado hakijatenguliwa, nimeonelea niwatajie baadhi ya...
Wakuu
Mwanachama na aliyekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA, Odero Charles Odero amesema ile kura moja aliyoipata katika uchaguzi huo ni ya mpiga kura sio yake. Kwa maana hiyo hata...
My friends ladies, and gentlemen..
Ni wazi,
utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa zaidi ya 95% chini ya serikali sikivu ya CCM inayo ongozwa na rais kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia...
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Makete mkoani Njombe wamezungumzia uchaguzi wa viongozi wa chama hicho taifa pamoja na namna uchaguzi huo ulivyofanyika...
Hicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini!
Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000
1,000,000 nyongeza ni 20,000
Hayo ndiyo matusi kutoka...
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa...
Emmanuel John Nchimbi alizaliwa tarehe 24 Desemba 1971 mkoani Ruvuma, Tanzania. Alikulia katika familia yenye maadili ya kijamii na kisiasa, jambo ambalo lilimwandaa mapema kwa ajili ya kuingia...
Duru ndani ya Kambi ya Lissu zinatabanaisha, ndugu Godbless Lema sasa anaenda ku mrithi John Mrema katika nafasi ya Msemaji wa Chama Taifa (CHADEMA).
"...awali ilikuwa awe SG lakini yeye mwenyewe...