Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mkutano wa CCM uliofanyika tarehe 17 hadi 18 Januari mwaka huu ulikuwa ni kituko cha mwaka na kuwatukana watanzania. Watu wananuka shida, maisha ni magumu kila kona, lakini CCM hawakuona aibu...
14 Reactions
33 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kwasasa Jimbo la Uvinza amejibu hoja zilizotolewa jana na Mgombea kiti cha Urais wa JM !- LISSU APANGULIWA HOJA 7 KWA MIKWAJU 7 YA TAKWIMU NA KAFULILA...
68 Reactions
269 Replies
24K Views
HISTORIA FUPI Mkoa wa Kilimanjaro ulianzishwa rasmi mwaka 1963 kwa Tangazo la serikali Na.450 la mwaka huo ukiwa na wilaya za Kilimanjaro na Pare. Kabla ya Uhuru Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa ni...
1 Reactions
9 Replies
843 Views
Sasa ni dhahiri kwamba kasi ya kuchafuana kwa makada wa chama cha mapinduzi Katika Jimbo la moshi mjini inazidi kushika kasi kadri siku zinavyozidi kuyoyoma kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani...
0 Reactions
4 Replies
453 Views
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mwajuma Nasombe amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kwa asilimia 100 kwenye nafasi zote zilizokuwa zikiwaniwa kwenye uchaguzi wa Serikali za...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Ndugu wadau, Ningependa wananchi wafahamu kuwa barabara muhimu inayotoka Mbweni Kijijini kupitia Malindi , masaiti hadi Boko Magengeni imefungwa ! Hii ni barabara muhimu sana hasa kwa wakazi wa...
0 Reactions
3 Replies
230 Views
Habari wadau..? Nimekua mshabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa muda mrefu sana.. sasa naona ni Muda sahihi wa kua na kadi ya chama hichi hasa katika kipindi hiki ambapo...
5 Reactions
11 Replies
438 Views
Tahadhari ndugu msomaji andiko hili linaandikwa namimi mwenyewe ili kuwaonyesha kwamba vituo vya CNG vinavyotembea unaweza kuwa uwekezaji wa haraka sana utakao saidia watanzania kunufaika na CNG...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Freeman Mbowe, aliykuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ame-share ujumbe wake wa kiroho na wanachama wa chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani. Kupitia mtandao wa kijamii, wa X (zaman Twiter) Mbowe...
17 Reactions
49 Replies
2K Views
Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi. Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote...
2 Reactions
1 Replies
132 Views
1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala...
52 Reactions
53 Replies
3K Views
Kama wewe ni kijana na unaamini katika kulitumikia taifa kama diwani au Mbunge anza kujiandaa kwenda kugombea. Mfumo umebadilika na fikra zimebadilika. Wapiga kura sasa hivi ni vijana na vyama...
2 Reactions
7 Replies
290 Views
Ndugu zangu haya maneneo aliyasema Edo mwenyewe, lile gwiji la siasa haya maneno yanachembe chembe nyingi za ukweli, kwani leo uwezi kusikia mtu au kiongozi anasimama na kusema elimu ni ufunguo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi - (PPP) David Kafulila awataka wananchi kutosubiri tangazo la zabuni za Serikali. Mkurugenzi Kafulila ameeleza njia nne Sekta...
10 Reactions
42 Replies
780 Views
Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila amesema kuwa utafiti uliofanywa na taasisi ya kitafiti ya Steadman au SYNOVETe mwaka 2008 ulibaini kuwa...
23 Reactions
216 Replies
4K Views
◾PPPs to enable delivery of efficient, cost-effective public services ◾ Executive Director of Tanzania's PPP Centre, David Kafulila, wants to harness private sector technology and innovation ◾PPP...
12 Reactions
67 Replies
2K Views
Kwa upepo wa kisiasa unavyo vuma hivi sasa, Makonda ni mtu sahihi kueneza sera za chama tawala kuelekea uchaguzi mkuu Uzuri wa Makonda ni proactive Ushauri wangu ni huo Makonda na Polepole...
0 Reactions
13 Replies
446 Views
Wakuu ujumbe wa Boni kwa boss wake wa zamani == Freeman Aikaeli Mbowe Kwangu umekuwa siyo tu kiongozi wangu wa chama bali ni mwalimu, mwanafalsafa,mkufunzi,mzazi,mlezi na rafiki wa kweli. Wewe...
23 Reactions
85 Replies
3K Views
Lissu alisema hayo wakati akisimulia sehemu ya maisha yake binafsi na mambo aliyowahi kukutana nayo maishani katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika Jumatano Mbunge wa Singida...
1 Reactions
2 Replies
341 Views
Niweke wazi msimamo wangu toka awali, kwamba nilikuwa naunga mkono uongozi wa ziada wa Freeman Mbowe kwa miaka mingine mitano. Lakini zaidi ningependa aondoke kwa kupewa heshima anayostahili, sio...
2 Reactions
12 Replies
319 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…