SAMIA HOUSING SCHEME
Mradi wa ujenzi wa nyumba kwaajili ya makazi ya Kaya (Familia) 5,000 unaotekelezwa kwa awamu wa Kawe Jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 78% na upo kwenye hatua...
Salaam.
Kwa kuwa January Makamba ni mchapa kazi na anakubalika na wanachama wa Chadema basi tunamuomba achukue kadi ya chadema haraka sana ili tumpitishe kugombea urais mwaka 2020 akipambana na...
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe.
____
1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote...
Mikakati ya Mbowe kumwengua Lissu kwenye nyadhifa ya vice chairman haikuwa bahati mbaya. Ilikuwa planned vizuri, na mwishowe angefukuzwa uanachama kwa hisani ya chama kile kilichofadhili kampeni...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye hafla ya utoaji tuzo, Rais Samia ametangaza kwamba kwanzia mwaka kesho tuzo hizo hazitakuwa chini ya TRA lakini zitakuwa chini ya Rais.
Rais Samia amesema...
Wanabodi,
Nimesoma mahali kuhusu Kamanda Tundu Lissu kuandika barua mbili kwa IGP kuomba kuhakikishiwa usalama wake ndipo arejee nyumbani Tanzania.
..Nimesikiliza mahojiano kati ya Mh.Tundu...
Wanabodi,
Leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia TBC-1,
Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda ameshindwa kabisa kuliendesha Bunge!, amepwaya sana na ameendesha kikao cha leo...
Wanabodi,
Leo nawaendeshea somo la kitu kinachoitwa assets and liabilities, kwenye siasa.
Kwenye biashara assets ni mtaji na rasilimali na liabilities ni madeni, na hasara, biashara ikiwa nzuri...
Wanabodi,
Juzi katika kikao cha bunge, Spika wa Bunge, Mhe. Anne Maklnda, alimtaja Mbunge wa Singida, Mhe. Tundu kama ndie Mbunge anayeongoza kuwa chanzo cha vurugu za bungeni, kwa kuongoza kwa...
Mwenye CV yake atuwekee ili tuichambue kwa kina isije kuwa ndio walewale akina PK na M7
2025 siyo mbali jamani na alitakalo mmarekani huwa
2020 Tundu Lissu alikuja " kibabe" sana kugombea Urais...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli...
Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama.
Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti...
Wanabodi
Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!.
Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo...
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni kwamba familia ya kihindi ya Ladwa inatumia hati za kusafiria za Tanzania na Uingereza. Vyombo vya habari na baadhi ya watu wameenda mbali zaidi kusambaza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22...
Kitendo cha kujipendekezea jina lake lipite ni wazi samia kuna mtu au watu anawaogopa. Itakuwa makamba? Au akina nani wengine? Luhaga Mpina hapana huyu hakuwa na issues kwenye UraHis.
Watu...
Ni katika sherehe za kuwakabidhi Tuzo Walipa Kodi Bora nchini
Mlipa Kodi maarufu zaidi nchini ni S S Bakhresa
Mlipa Kodi mkubwa ni NMB
Na huyo Kijana Shujaa wa Tegeta
Tukio liko mubashara...
Tundu Lissu - Mwenyekiti mpya CHADEMA 2025 - 2029
John Heche Makamu Makamu Mwenyekiti mpya 2025 - 2029
Hongereni sana ndugu zetu Tundu Lissu na John Heche.
Pia soma Pre GE2025 - Freeman...
Bwana Lissu almaarufu kibaraka kwenye Kampeni zake ukiachilia mbali kuchafua wagombea wenzake pamoja na Rais ila mojawapo ya ajenda yake kuu aliyowapigia fix Wajumbe wa Chadema ni kwamba kama...
Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii?
======================================
Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa...