Hivi mimi nashindwa kuelewa hawa ccm wanakoelekea au niseme wanaona aibu kujiunga navyama vya upinzani??au ni ile nisije nikawa wa kwanza??tangu kampeni zimeanza nashangaa za safari hii!!!Hivi...
Katika kitabu cha George Orwell cha Animal Farm, kuna mambo mengi sana nimeyapenda kwa kulinganisha na jinsi tunavyopelekeshwa na mafisadi
The Seven Commandments are laws that were supposed to...
Niliwahi kutoa topic hapa kuwa "Sintopiga kura kwenye uchaguzi wa 2010", nilikuwa serious kabisa na uamuzi ule kwa wakati ule. Ila baada ya tafakari ya kina na kusoma makala mbalimbali pamoja na...
Yesterday's incident brought back memories of President Kikwete's collapse at Jangwani grounds in Dar es Salaam as he was holding his final campaign rally on December 13, 2005, just a day...
Wanajamvi juzi jumamosi kulikuwa na Mdahalo LIVE kupitia ITV uliokuwa uanafanyika MovenPick Hotel chini ya mwenyekiti Jenerali Ulimwengu.
Mdahalo ulikuwa kuwakutanisha wagombea Ubunge Vijana...
Nimekua nikifuatilia picha na video za kampaini za CCM, kitu ambacho kimenishangaza ni idadi kubwa ya watoto na wanafunzi.Cha kusikitisha ni kwamba wanafunzi wengi wanalazimika kukatisha masomo na...
Watanzania wenzangu inabidi tuache Ushabiki na tuangalie mustakabali wa nchi yetu. Pengine tunashabikia bila kufahamu mambo haya. Kuipa kura CCM itakuwa ni 'grave mistake' kwa watanzania. Nasema...
Unapokuwa umemaliza kupiga kura yako unaishia kwenda nyumbani ukifikiri ya kuwa mshindi atapatikana kutokana na kura zilizomo kwenye sanduku la mahesabu ya kupigia kura. I MUST SAY, IT IS A WRONG...
Ngugu zangu katika mapambano,
Nashtushwa sana na hii trend ya kura za raisi wetu mtarajiwa "the real DR" Slaa kupungua polepolee katika hii forum makini JF.
Je ni sababu ya mamluki wa CCM?
Je...
Kwa uchu wa madaraka unaonyeshwa na ccm na kauli mbiu yao ya ushindi lazima tutegemee machafuko baada ya 31oct. Mfano ktk jimbo la busanda kata ya rwamgaza hali si shwali maana ccm kwa kutumia...
Chadema Presidential candidate Dr Willibrod Slaa last Thursday completed the first round of his campaign trail countrywide, which started on August 30, by addressing a rally at Hedaru in...
·Makongoro Nyerere azitia doa kampeni za JK
Na Mwandishi wetu, Bunda
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mara, Makongoro Nyerere, ambaye ni motto wa Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere...
During the recently concluded CCM convention, the euphoric mood of victory, inevitability and "business as usual" afflicted CCM stalwarts. Even president Kikwete opined that the opposition was...
JK: Mpeni kura Jah People, atawasaidia
Imeandikwa na Mgaya Kingoba, Njombe; Tarehe: 25th September 2010 @ 23:00
MGOMBEA Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Njombe Kaskazini, Deo Sanga...
Kabla na wakati wa kampeni za uraisi na wabunge kuanza, Chaka-Chua Mafuta (CCM) na mgombea wake wa urais kwa ushirikiano mkubwa na mkewe walitengeneza slogan ya kampeni ya kitanda kwa kitanda...
Nimesikitishwa sana na baadhi ya magazeti kutoa habari za uchaguzi kwa upendeleo Nimefuatilia upande wa picha UPINZANI FRONT page ni mgombea na watu 5 mpaka 7
chama tawala Mgombea na mamia ya...
CHADEMA's EDUCATION PLAN IS NOT A HOAX IT IS A LONG AWAITEDIn Response to Tayari's Article : Is CHADEMA's Education Plan a Hoax?
by Deus Valentine on Sunday, September 19, 2010 at 8:16pm
I am...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.