Na Peter Mwenda
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amewataka wakristo kufuata dhamira ya Mungu ya kuchagua viongozi ambao hawawarubuni kwa...
Nimeamua kusema haya ili kuwatanabaisha wale wanaodai kwamba sisi tutachagua sisiem kwa sababu tumezaliwa katk sisiem.
Hii ni kushindwa kutafakari na wakati mwingine ni mwendelezo wa propaganda...
Katika tukio jingine, jana magari ya msafara wa Rais Kikwete yalizuiwa kupita katika hifadhi ya Serengeti kwa madai kuwa hayana kibali kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii.
Magari manane...
Saturday, 25 September 2010
MWANDISHI mwingine wa magazeti yanayochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), amepata misukosuko kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
CCM, CHADEMA wakatana mapanga
Mmoja anyofolewa sikio, ashonwa nyuzi nane
na Mwandishi wetu
KAMPENI za uchaguzi mkuu wa urais, ubunge na udiwani, zimeanza kuingia dosari baada ya vijana...
Wafungwa Waandaa Mkutano wa CCM
HALMASHAURI ya wilaya ya Serengeti mkoani Mara imeingia katika kashfa nzito baada ya kujihusisha na maandalizi ya mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya...
Jamaa zangu wa CCM hapa Arusha wamesema watendaji serikalini haswa serikali za mitaa ndiyo tegemeo lao la kuokoa JK kupoteza pango hapo Ikulu.
Tetesi hizi zinazidi kubainisha ya kuwa watendaji...
Millennium Development Goals (MDGs)/ Malengo ya Millenia yaliwekwa mwaka 2000 kwamba kufikia 2015 matatizo kama umaskini yawe nusu yake. Lakini kufikia 2010 hata nusu ya lengo halijafikiwa, je...
KATIKA HALI INAYOONYESHA WAGOMBEA WAKUU CCM KUCHANGANYIKIWA, SASA SIJUI HATA KAMA WANAFUATA RATIBA. DR BILAL AMERUDI TENA IRINGA, ALIKUWA HUKO HATA MWEZI HAUJAISHA, JK ALIKUWA HUKO KAMA SIKU KUMI...
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete akiwapungia mkono wananchi wa shinyanga waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Kambarage mkoani humo...
Lack of House vetting process to determine mobility of members of the Bench has provided the executive with a blank cheque to stoke judicial cronyism and mediocrity. The rules and regulations of...
Ndugu zangu, Great thinkers,
Juma lililopita nimekuwa nafuatilia kwa karibu taarifa za habari. Kwa miaka sasa huwa naangalia ITV kwa sababu wamekuwa wanabalance habari zao bila kupendelea chama...
By Ani Jozen
25th September 2010
Hearing leading opposition candidate for the presidency, Dr Wilibrod Slaa outline his programme of government, one would be forgiven to imagine that cost cutting...
:A S-danger:BAADHI YA NJIA ZITAKAZO TUMIKA KUVURUGA UCHAGUZI NA CCM.
1.KUWAKAMATA VIJANA KWA KOSA LA UZULULAJI(HASA KTK MAENEO AMBAYO WAPINZANI WAPO) ILI KUPUNGUZA IDADI YA KURA ZA WAPINZANI...
guys can someone help me out as to WHY in our elections we dont give results right at the polling station???????? if at all MAWAKALA na wasimamizi wapo why not after voting they dont count right...
Where do we position our contestant among these group;
1. Few who make things happen
2. Many who watch them happen
3.millions who have no idea of what is happening
MKAKATI WA KUILINDA KURA YAKO ISICHAKACHULIWE HUU HAPA
Hivi kuna faida gani kuacha shughuli zako na kwenda kupiga kura na siku inayofuata unasimuliwa ya kuwa mambo yamekwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.