Nimepewa taarifa ya kuwa leo JK, yupo Nzega kwaajili ya Kampeni za kujinadi yeye mwenyewe, Mgombea wao wa Ubunge(Hamisi Kigwangala) pamoja na Madiwani wa CCM.
Mkutano huo wa Kampeni utafanyika...
1. Usikumbatie waovu kama Kikwete
2. Usiwe mwizi kama Lowasa
3. Usiwe mwongo kama Makamba
4. Usiwe mnafiki kama Rostam
5. Usidharau pesa kama Chenge
6. Usikose msimamo kama Mrema...
KAMA UCHAGUZI UNGELIFANYIKA WIKI JANA MATOKEO NI..
Tetesi ndani ya chama changu tawala kulingana na kura ya maoni waliyoigharimia wao wenyewe kama uchaguzi ungelifanyika wiki iliyopita...
Jamaa amechelewa kutua hapa kahama,ameanza kuhutbia saa kumi na mbili jioni hii na bado anaendelea hadi sasa wakati hap juzi cuf waliongeza dakika 10 tu polisi wakawatoa mbio,amekuja na msafara wa...
JK alidai kuwa TAKRIMA haiwezi kwisha! Msemaji wake wa kujitolea Tendwa akaja kudai baadaye kwamba eti Rais wetu "alikuwa anatania!!" Vile vile alisema hajui kwa nini nchi yetu ni maskini! Kwa...
It was 50 years ago today that then-Senator from Massachusetts John F. Kennedy took on then-Vice President Richard Nixon in the first-ever general election presidential debate. The debate was a...
Wadau km wewe ni mteja wa Voda tuma ujumbe unaosema BUY 772 kwenda 15577. utapata call back ringtone inayohimiza watu kuchagua chadema. Yaani mtu akikupigia wakati unasubiri upokelewe huo wimbo...
HALMASHAURI ya wilaya ya Serengeti mkoani Mara imeingia katika kashfa nzito baada ya kujihusisha na maandalizi ya mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete. Halmashauri...
Siku ya leo Dr. Mwakyembe anatarajia kuhutubia wanakyela katika stend uwanja wa siasa Kyela mjini. Hivyo kwa mtu aliyepo kyela na anapenda kumsikiliza basi ni muhimu kupata taarifa hii, Mkutano...
Nimeota ndoto ccm wamekubali kuwe kunafanyika mdahalo kwa masharti yafuatayo:-
1. Wanaotakiwa kuhudhulia wawe ni wazee wa dar es salaam tu, hataruhusiwa kijana au mtu yeyote asiyeogopa...
Natafuta watu ambao watakuwa na uwezo wa kutoa nakala za bure za CD - NIMESEMA ZA BURE - za kuhamasisha. Ndani yake kutakuwemo na tracks kadhaa za mahojiano yangu na wana harakati mbalimbali wa...
Watendaji wengi ambao kwa nyadhifa zao huteuliwa na rahisi sasa hivi ni tumbo moto wakihofia ujio wa utawala mpya wa Dr. Slaa.
Utafiti wangu umebaini ya kuwa wengi wao wanayafurahia mabadiliko...
Nimepata taarifa kuwa Dk Slaa amezungumza na waandishi wa habari leo na kusema ana ushahidi kuwa watumishi wa Usalama wa Taifa wametawanywa mikoa mbalimbali ili kuidhibiti Chadema na kuhakikisha...
Mimi sina vita yeyote na upinzani hasa CHADEMA, lakini CHADEMA
kumuingiza Marando na kumpa jukwaa kuongea na wananchi siliafiki.
Mimi nimekuwa nikuwafuatilia sana wanasiasa wakiwepo wa upinzani...
Majaribio ya Ajabu!
Shule za kata ni mfano halisi wa kuharibu mfumo wa elimu nchini Tanzania kwa makusudi. Kwa kawaida, hata majaribio ya matabibu wa madawa au upasuaji huanza na wanyama; vitu...
Yafuatayo ni machache kati ya mengi ambayo CCM na serikali yake iliahidi 2005 kwa wananchi na imetimiza.
AHADI: KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
Ujenzi wa miradi 15 ya barabara kwa...
Dk. Willibrod Peter Slaa
1. Anachokisimamia
Dk Slaa anasimamia maadili, uadilifu, umakini na uwajubikaji katikaü uongozi wan chi na utendaji serikalini.
Dk. Slaa anaamini kuwa Watanzaniaü...
Tumekua tukiambiwa na kutadhaarishwa kila siku juu ya kuchanganya dini na siasa. Lakini mwaka huu 2010 ambao ni mwaka wa uchaguzi kwa nchi yetu inaonekana wazi maswala ya dini kutawala uchaguzi...
Sasa naona ameamua kununua air time chanel ten ili kujitangaza kitaifa kama bado yupo,ni aibu kwa kituo cha habari kirudia habari moja kwa siku mbili mfululizo,na kikubwa ya tukio linalofanana,na...
Jamani wana JF
Nimesikia kuna habari kwamba JK katika moja ya mikutano yake ya kampeni amesema wanoishi na VVU eti ni "Kiherehere chao" ndiyo kimewaponza? Nasikia kulikuwa na video za mkutano huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.