Nimejaribu kuangalia magari kama 100 yakipita hakuna hata moja lililoweka bendera ya ccm kipindi hiki cha uchaguzi kama ilivyokuwa kawaida kwa miaka mingine,kulikoni jamani,hata watu wa ccm...
Jamani eeh!
Kuna mwalimu fulani yuko mafunzoni katika Chuo kimoja wapo hapa nchini.
Hivi majuzi alinitumia ujumbe wa simu ambao ulinifanya nijiulize mara mbili kama anastahili kufundisha mtoto...
Bango moja la JK liko pale nyuma ya Ocean Road hospital au kama unaelekea NIMR au kwa Mkemia Mkuu wa serikali; lina picha ya JK na mwanamke ambaye inasemekana ni mama yake mzazi, halafu lina...
Mdahalo wa Wabunge watarajiwa vijana toka vyama vya siasa ambao CCM wameukacha, baadhi ya dondoo zilizozungumzwa ni PART 1 na PART 2 kwa hisani ya TANGIBOVU WA YOUTUBE:
Kuchochea vijana kugombea...
Dk. Willibrod Peter Slaa
1. Anachokisimamia
Dk Slaa anasimamia maadili, uadilifu, umakini na uwajubikaji katika uongozi wan chi na utendaji serikalini.
Dk. Slaa anaamini kuwa Watanzania...
Kiongozi wa dini anayetambua nafasi yake hawezi kusema au kushawishi kumchagua kiongozi fulani. Ndicho walichofanya viongozi wetu hawa wawili wa imani. Askofu Kakobe ameonyesha msimamo gani tuwe...
Nimeweka title kali kidogo kwa sababu nataka kudraw attention ya wadau wa CHADEMA. Actually mi ni mdau wa CHADEMA na niko huku jimboni, bega kwa bega na mgombea ubunge tunapambana na mwanaccm...
hatutaki kuona yaliyotokea kenya uchaguzi uliopita yanatokea hapa kwetu kwa kuwa na tume inayolinda maslahi ya wakubwa,wito wangu kuwa hakuna sababu za kuyatangaza kwa pupa matokeo huku mazingira...
Jamani wakuu wote wa JF naomba sana kama kuna yeyote anayejua kuhusu hii ya Muheshimiwa JK kuahidi Bajaji 400 za kubebea waja wazito kwenda kujifungua! Hii kali ya mwaka!!
Gazeti la Mwananchi linareport hivi:
MKUTANO Chadema, uliotishwa kuwateua wabunge wa viti maalumu, uliingia dosari baada ya kumalizika bila mwafaka kutokana na kuibuka makundi mawili...
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi atakuwapo katika Wilaya ya Nzega hapo Kesho... Tusubiri Ahadi kwa ndugu zangu wa Mji huu hasa ukizingatia...
Jana jioni nilipata nafasi ya pekee ya kukutana na viongozi na wakereketwa wa chama tawala na kwa mbali walionyesha kukataa tamaa.
Waliniuma sikio kuhusu taarifa za siri za idara ya usalama wa...
BAADA YA CCM KUTUMIA FEDHA, MAGARI, NA RASLIMALI KIBAO ZA SERIKALI KATIKA KAMPENI ZAKE, SASA IMEANZA KUTUMIA WAFUNGWA NA KUPIGA WANYAMA PORINI KWA AJILI YA KULISHA MISAFARA YAKE YA KAMPENI...
Kama kuna watu wanaosoma nyakati basi huyu babu alikuwa amejaliwa kimaanayake...
wakati wa kuchagua rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania alipopambanishwa
kikwete,mkapa huyu babu alioengea mengi...
Wadau jamvini,ni mara ya pili sasa namuona mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete (akilindwa?) na askari kadhaa toka Jeshi la Wananchi...sijaelewa kwamba ni sababu au mahitaji yapi yanafanya hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.