Kwanza kabisa Ukweli ni kwamba kura inapigwa kwa siri.
Watanzania wengi sasa wanajua upi Ukweli na upi uongo
Yaliotendwa na CCM yanajulikana (in black&white), hata hayakuhitaji Spika au Mabango...
In about 2 days Kinana anazungumza kwamba kama Chadema itatekeleza suala la elimu bure basi hiyo itakuwa sawa na 70% ya bajeti ya serikali as of now. Wakuu are we that poor? Au takwimu hizi...
Hivi mikutano ya CCM bila kuwa mwanachama au T-shirt, kofia au khanga ya kijani na njano hurusiwi kuhudhuria mikutano yao?? Nimefuatilia picha kibao humu ndani lakini tofauti na CHADEMA mikutano...
source - Habari Leo
Kikwete aahidi kutokomeza malaria kwa kuua mbu kila nyumba
Imeandikwa na Mgaya Kingoba, Musoma;
Tarehe: 26th September 2010
MKOA wa Mara utaanza kampeni ya kunyunyizia...
Ni jambo la wazi kuwa Kikwete anajaribu sana kuweka familia yake katika utawala wa nchi hii. Hili linaonekana wazi kwa jinzi Salma Kikwete amavyojitokeza kwa nguvu siku hizi kuongelea maswala ya...
Ridhiwani Kikwete akiwa na mwalimu aliyemsomesha darasa la kwanza 1987 katika Shule yaMsingi Matangini Mwl. Sophia Makong'o, alipomtembelea nyumbani kwake mjini Nachingwea. Kulia ni mtoto wa...
Yapo maneno mengi saana yanatamkwa na waomba na wanaowaombea Kura.
Mfano;
1. JK wakati yupo Iringa baadhi ya vyombo vya habari vilimkariri akisema; Chagua CHAMA na si mgombea. Wakati huu alikuwa...
Wapiga debe na hoja zisizojaa mkononi
Godfrey Dilunga Septemba 22, 2010 (Raia Mwema)
WILLIAM Penn Adair, maarufu kama Will Rogers, mwigizaji na mtunzi wa filamu wa Marekani wakati...
Ndugu zangu, jana ilikuwa siku yangu ya nne nikiwangalia JK katika mikutano yake ya hadhara "ya kampeni" lakini ukimsikiliza haongei kama mgombea bali Rais. Kwa mfano jana katika ITV alisema...
JAKAYA MRISHO KIKWETE
1.Mtanzania pekee aliyewafanya wapinzani uchwara walie kuomba uongozi.
2.Mtu pekee ambaye mafanikio yake kimaendeleo yanapingwa kwa porojo.(bila takwimu)
3.Mtu pekee...
From my blog:
I think it is very naive to believe that political parties anywhere think of elections in democratic terms. Yes, they may wax lyrical about the principles of openness and...
Nadiriki kusema kuwa hatima ya taifa letu kukombolewa dhidi ya utawala wa ki-imla wa ccm ipo mikononi mwa makubaliano kati ya vyama viwili nguli na pinzani wa dhati kwa ccm. Nimechunguza kwa...
Voice of America (Idhaa ya Kiswahili) inaripoti kuwa vyama vya upinzani 14 katika jimbo la Iringa mjini vimeungana kukabiliana na Gwiji Chadema na Mafisadi CCM.
Kwa mujibu wa habari hiyo, Chadema...
WA TZ WENZANGU KWANZA NAWASALIMU NYOTE HABARINI NA NATUMAI HAMJAMBO POPOTE MULIPO KWANI HII NI MARA YANGU YA KWANZA KUJIUNGA NA MTANDAO HUU AMBAO NADHANI NI MTANDAO ULIO HURU NA UNAOKARIBISHA...
Ni dhahiri sasa kwamba serikali ya awamu ya nne inatumia nguvu mno kutaka kutuaminisha imedeliver au kwa lugha nyingine imeleta mafanikio. Cha ajabu ni kwamba what is on the ground is completely...
Utawala mpya wa Dr. Slaa kufuta sheria ya mafao ya uzeeni ya viongozi
CCM walikuwa mahodari wa kuboresha masilahi ya viongozi wa ngazi za juu huku wale wa chini wakiambulia danganya toto...
Utumishi wa umma umepoteza maadili, ari ya kufanya kazi na tija IMEJIKITA kaburini.
Dr. Slaa atarekebisha upuuzi huu ulioshamiri chini ya utani utani wa JK kwa kufanya utumishi wa umma kuwa na...
ALIYEAHIDI STARS KWENDA GHANA kweli KUFUTA JEMBEMKONO?
Kulingana na gazeti la majira la leo Kikwete ameahidi atafuta KILIMO CHA JEMBE LA MIKONO KATIKA MIAKA MITANO IJAYO KAZI ILIYOMSHINDA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.