Nimesikitiswa sana na matamshi aliyoyatoa JK pale bukombe kuhusiana na vyama vingi nchini Tanzania.
Ninavyfahamu mimi Tanzania ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi vya siasa uliorejeshwa...
Baada ya Lukas Siame (Mbozi- Magharibi), Emanuel Vuhahula wa Bukombe na sasa James Lembeli wa Kahama (Kutaja ambao taarifa zao zimeripotiwa - labda wapo wengi) na Aeshi Ally wa Sumbawanga mjini...
Leo nimemwona usiku huu Tambwe Hizza katika taarifa ya habari Channel 10 akikanusha statement ya Dr Slaa kwamba kuna njama zinazosukwa na taasisi za dola kukihujumu Chadema katika uchaguzi ili...
Na Mgaya Kingoba,
Ngorongoro
Mgombea urais wa tiketi ya CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameonesha mfano katika kuhimiza ufugaji wa kisasa na usio wa kuhamahama kufuata malisho, akimiliki...
Asubuhi ya saa 12.30, STAR TV, kila siku walikuwa wanarusha hewani kipindi cha someni magazeti lakini katika kipindi hiki cha uchaguzi wameingia mitini na sasa hivi ni vigumu kukukubali hoja za...
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa (katikati) akisalimiana na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum wakati mgombea huyo alipokutana...
viongozi wa dini zetu wameanza ziara za kutembelea vyama vya siasa wakiwa na ujumbe wa amani na wakubaliane na kuvitaka vyama vikubaliane na matokeo ya uchaguzi,rai yangu ni hao viongozi wetu wa...
viti maalum Chadema vyazidi kupasua kichwa Send to a friend Saturday, 25 September 2010 22:38 0diggsdigg
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema,Dk Wilbrod...
Mimi ni mshabiki zaidi wa Tanzania kuliko wa ccm. Kama kungekuwa na chama kingine kizuri nisingehangaika na ccm. Ningeacha chama hicho kishike madaraka
Maneno hayo yalitamkwa na Baba wa Taifa...
Ndugu,
Ndio kwanza narejea kutoka mkoani Kagera. Nimefika majimbo ya Nkenge, Bukoba Mjini, Bukoba Vijijini na Muleba Kaskazini. Watu nilioongea nao, wengi takribani 60% wameonyesha na kutamka wazi...
CCM imekodi HELIKOPTA TATU kutoka Nairobi, Kenya, ambazo zinatumika kwenye kampeni ya kutafuta Urais ya JK. Gharama za kukodisha helikopta hizo ni Dola za Kimarekani 5,000 kwa kila saa moja...
nilitegemea JK kampeni zake za kipindi hiki kuwa za utulivu zaidi ya zile za 2005 kwa sababu tayari ameshakuwa madarakani na ametekeleza yale aliyoahidi. kwamba hana sababu ya kuwa na hofu kwa...
Wakuu naona chadema na NCCR wanachuana kweli
they are both very intelligent, disciplined and well articulated to the province problems
Nimeipenda sana na naamini kwamba hili jimbo zuri...
*Slaa asema wanazo nyaraka za utafiti wao.
*Adai kuna mbinu za 'kuchakachua' matokeo.
Na Tumaini Makene
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeivaa kampuni utafiti ya Synovate...
Habari nilizozipata kutoka wilaya ya BUKOMBE, Shinyanga zinasema kuwa mkutano wa JK wa kampeni, uliofanyika leo hapo Bukombe umevyunjika baada ya wananchi kuanza kumzomea JK na mgombea ubunge...
Itakapofika October 31 mimi na familia yangu na jamaa zangu wa karibu hatutakua mmoja wa;
wale watakaopigia kura wala kuunga mkono chama kilekile kinachokumbatia ufisadi.
wale watakounga mkono...
Kikundi cha kigaidi cha Mafia kina njia moja ya kunyamazisha upinzani wowote ule uwe wa ndani au wa nje kwa kutoa kinachojulikana kama an offer one cannot refuse ! Kwa tafsiri nyepesi ni kuwa...
Huyu Dr Kawambwa anaPhD ni msomi mzuri kabisa, anaweza kuishi bila kunyenyekea na kujidhalilisha kiasi hiki! Amepigia magoti picha duu kazi hizi sintoweza zifanya!
Huyu dada naye nashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.