How will the polpulation vote?
Given the distribution of the population in our country, one has got to be strategic.
No wonder we see some candidates concentrating on some regions for obvious...
Umetimia wakati, joka kuliondosha
Tupaze zetu sauti, jitu hili kulifisha
Yake haki ni mauti, ulimwengu kuujulisha,
Oktoba imefika, joka hili liuliwe
Kazize kuchakachua , uchumi...
Umoja wa wanyakyusa waishio jf
wanasikitika saaaana kwa kitendo cha baadhi ya wazee wasanii wa kinyakyusa kwa uamuzi wao wa kumsimika mtoto wa rais kuwa chief wa wanyakyusa, ili hali wakijua...
Thursday, 30 September 2010 19:57 0diggsdigg
Brandy Nelson, Mbeya
MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbeya mjini kupitia CCM, Benson Mpesya amewasihi wakazi wa jimbo hilo wamchague kwa mara...
Tumempata mwanana, mpambanaji hodari
Mzalendo pia mwana , mafisadi kukabiri
Utani kwake hakuna, kweli yeye dakitari
Siku ile ikifika, Kura zetu kwa Slaa
Tumpe kura kwa wingi, uchumi kuukomboa...
Wakuu mlioko mbeya tujulisheni maendeleo ya yule Mch. mwanjala aliyebebwa uchaguzi mdogo. Au pia anapumulia mashine? Na mpiganagi Sambwe Shitambala hatujapata updates zake, tafadhali zileteni hapa...
Kero Daraja la Mto Malagarasi linahitaji Tshs. Billioni 22 tu.
Rais Bush mwaka 2003 aliahidi mabilioni ya shillingi kufua umeme kwa kutumia mto Mlalagarasi, pesa hizo zipo wapi na kazitafuna nani...
Wana JF leo nimebahatika kuwa katika moja ya mikutano 'mikubwa' ya JK katika kampeni zake mikoani katika uwanja wa Alhasan Mwinyi Tabora. Lengo kubwa ilikuwa ni kujishuhudia mwenyewe yale...
Leo Dr Slaa ametinga ndani ya mji wa Ifakara na kufanya mkutano mkubwa ambao haujawahi kutokea hapo, kufuatana na habari nilizopata kutoka kwa swahiba wangu kule.
Anasema ingawa mkutano...
Hotuba ya Dr, mwakyembe leo iliambatana na mbwembwe, matusi na dharau za kila aina, Lakini matusi yalizidi pale alipotaka wananchi wamchague kikwete na wananchi kupinga wazi wazi.
Alianza...
Habari za UHAKIKA 100% zilizonifikia hivi punde ni kuwa Shehena nzito ya FULANA, PICHA ZA MUUNGWANA ZA SIZE TOFAUTI, MAGARI, KHANGA, NK vinamaliziwa kufanyiwa clearance na kampuni ya Whind Freight...
Slaa kufyeka wizara, kufuta ukuu wa Mkoa
Slaa kufyeka wizara, kufuta ukuu wa Mkoa
Imeandikwa na Halima Mlacha; Tarehe: 26th August 2010
MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
yuele mkurugenzi wa wilaya ya hai bwana mtega sasa yamemfika baada ya kutemwa rasmi wiki hii kwa maelekzo ya makamba na celina kombani!
amehamishiwa makao makuu tamisemi bila shaka kumkomoa...
Ahoji Zanzibar kutofaidika na madini ya Bara
Na Salum Vuai, Maelezo
MGOMBEA ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe, amesema iwapo atarudi...
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.