Nakumbuka wiki 3 zilizopita nilianika hapa jamvini jinsi nilivyopata taarifa kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM kuwa CCM itatumia mbinu za mugabe kutafuta ushindi wa nguvu. Mbinu hizo ni
Kutumia...
Leo wagombea ubunge Arusha mjini walishiriki kuadhimisha siku ya wazee duniani kwa kushiriki maandamo yaliyoanzia ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha.Wagombea ubunge wa vyama vya Demokrasia makini,CUF...
Sasa hivi mdahalo wa wagombea ubunge vijana unaendela "live" hapo EATV na Januari Makamba yumo kinyume cha maagizo ya baba yake Bosi wa CCM kuwa CCM haitahudhuria midahalo hiyo! Hili sakata...
Naomba niwajuze yale yanayoendelea na kuwasibu wenzetu wanaoitakia mema nchi yetu.
Habari hii nimeisoma kwenye mtungo wa Francis Godwin
September 30, 2010
SITAZIBWA MDOMO...
Na FRANCIS GODWIN (MZEE WA MATUKIO)
Msafara wa mtoto wa Rais Jakaya Kikwete Bw Ridhiwan Kikwete ukiondoka katika shule ya msingi Ipogolo baada ya kikao chao cha...
watu wamepatwa na mshituko kuona mnadhimu mkuu wa jeshi akitoa kauli za utata,hakuna jipya ni mwendelezo wa kutoa vitisho kwa wananchi ili kuhalalisha ushindi kwa ccm,upinzani kuweni macho na...
Fredy Azzah
AFYA ya mgombea urais wa Muungano kwa tiketi ya UPDP, Fahmi Dovutwa bado tete na yuko kitandani kwa siku tisa sasa kutokana na tumbo lake kujaa gesi, na hivyo kupata maumivu makali ya...
Kura za maoni zilimsaidia Obama kuingia White House.
Mimi nina amini na kuheshimu kura za maoni...Wewe Je?
Karibu Jamvini
1. Tanzania Opinion Poll Service: Tanzania General Election 2010
2...
jk amekuwa akitoa kaulia za utata kwenye kampeni zake,
nilichokuja kugundua watanzania wanapaswa kuzichukulia kama utani na wanapaswa kuozoea utani wa
jk na kufanya maamuzi sahihi octoba...
Jana jioni niliangalia taarifa ya habari ya TBC1 nakuona jinsi hii TV ya uma ilivyo chafu! Walitoa habari ya ukosefu wa maji katika mjini wa Karatu. Ni aibu sana TV ya uma inayoongozwa na mtu...
The similarities in the East African electionsThursday, 30th September, 2010E-mail article Print articleBy Jerry Okungu
MY interest in Tanzanias impending elections is obvious. I am a Kenyan...
Uvamizi unaonekana kuendelea katika JF baada ya kura kuongezeka kutoka 1,556 hapo jana saa 11 jioni (1700) hadi kufikia 1,777 leo saa nane dakika 32 (14:32 hrs). This is a tremendous efforts has...
Wanaoleta uchochezi kwenye uchaguzi mkuu wa kila mwaka kuanzia 1995 wengine walikwisha kufa na wengine bado wapo kwa kuweka kifungu na wengine kushindwa kukibadilisha katika katiba ya jamhuri ya...
Mwanzoni sikuweza kumuelewa Dr.Slaa kuhusu maagizo mbalimbali anayompa kikwete kutekeleza, na sasa nimemwelewa hasa baada ya juzi Kikwete kuahidi kujenga Reli itakayopitisha treni iendayo kwa...
Wale wanataka kujua Zitto yuko wapi na anafanya nini tembelea hii link Zitto na Demokrasia
Ndio Mtajua jinsi gani Chadema wamejipanga vizuri. Silaa hawezi kufika kila kijiji lakini wagombea ubunge...
NEC: Chadema acheni kauli za uchochezi
Na Ramadhan Semtawa
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imeionya Chadema kuacha kauli zake za kwamba, kuna njama za kuandaa karatasi za...
nimekuwa nikisikia ahadi nyingi sana zinazoendelea kutolewa na wagombea urais wa vyama mbalimbali vilivyosimamisha wagombea, hali hii inanifanya nijiulize hawa wagombea wamekuwa wakiishi nchi...
Tafakuri Jadidi
Nakala chapishi
Mtumie mwenzio
Jiandikishe utaarifiwe
Tumeiona nchi ya ahadi kwa mbali, tusonge mbele!
Johnson Mbwambo
Septemba 29, 2010
MIMI ni mtu mwenye mhemuko, na...
Kigwangala akataliwa mbele ya JK Nzega
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Nzega mkoani Tabora, Dk Khamis Kigwangala, amejikuta katika wakati mgumu baada ya wakazi wa jimbo hilo kudai kuwa hawatampa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.