Dk Slaa: Nimeisikia sauti ya Mungu ndiyo maana ninagombea urais- SOURCE MWANANCHI Send to a friend Tuesday, 07 September 2010 17:56 0diggsdigg0diggsdigg...
Kaulimbiu ya Lowassa ambaye anawania tena nafasi hiyo, ni 'tulifurahi pamoja, tukahuzunika pamoja, tutasonga mbele pamoja na tutashinda.''
Source Gazeti la Mwnanchi
My Take
Mheshimiwa Lowassa...
You're on the front line
Everyone's watching
You know it's serious
We're getting closer to 31-October
This isn't over vote for change
The pressure's on; you feel it
But you got it all; come...
Mwana CCM Mwenzangu usikipigie kura chama Chetu na JK kwa ujumla kama hutapata Majibu ya maswali yafuatayo kabla ya tarehe 30 October 2010.
a) Kagoda ni nani na nani aliasisi wizi wa pesa pale...
Ratiba ya kampeni ya Dr. Slaa imepangwa na tume au CHADEMA ndiyo ilipendekeza. Naona ratiba hiyo haiyapi baadhi ya maeneo umuhimu unaostahili kwani anachukua muda mfupi sana na hafiki baadhi ya...
NANUKUU KWA KUSEMA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu amesema kuwa ni wajibu wa Watanzania kuwakataa...
Kuna aina nyingi za viongozi, wapo wale ambao wao wenyewe wamejijenga (self-made) na wapo wale ambao mfumo uliopo umewajenga (epigone). JK ni matokeo ya udhaifu wa mfumo wetu wa kupata viongozi...
Mgombea aliyenunua Kadi za kupigia kura Uchaguzi mkuu.
Siku ya Jumamosi nilisikuliza Radio Wapo FM. katika kipindi kilichorushwa saa za jioni kati ya saa 12 na saa moja, ilitolewa habari ya...
Ndugu zangu, mimi ni mgeni katika forum hii lakini kuna jambo moja nimelikumbuka ambalo huu ndio wakati wake muafaka. kuna walaka wa maaskofu waliouzindua mwaka huu ambapo baadaye waislamu nao...
MGOMBEA wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Monduli kupitia tiketi ya CCM, Edward Lowassa, jana alizindua rasmi kampeni zake akiwa na kauli mbiu ya aina yake kwa wananchi wa Monduli.
Kaulimbiu ya...
Wanajf mimi nimesafiri kidogo niko mkoani kwa week tatu sasa, nimekuwa kifatilia HABARI ZA MAGAZETI lakini gazeti la MWANANCHI Imekuwa inanichukua siku mbili kupata hardcopy ya gazeti la jana...
Wanajanvi, nawasilisha
Wadau inaonyesha kweli mnataka mabadiliko ya dhati. Ujumbe huu uwasaidie kufikia maamuzi ya dhati 31 Oktoba 2010. Mimi siwaambii nani mumchague lakini ninyi mnajua nani...
[quote="Field Marshall ES, post: 1104301"]
CCM Meeting KILOSA-MOROGORO: !
Na kutoka Michuzi blog !
Umati mkubwa uliojitokeza kumsikiliza JK leo
alipokuwa akiwahutubia wana CCM wa Musoma...
Wadau wa JF nimeikuta hii katika gazeti la mwananchi leo.
Makamu mwenyekiti wa Nec, Jaji Omar Makungu alisema kauli kwamba Dk Slaa hataingia Ikulu, inaumiza lakini ni juu ya Chadema na Dk Slaa...
NI KWANINI WATANGANYIKA WENGI WANAOISHI ZANZIBAR WANAKIUNGA MKONO CHAMA CHA MAPINDUZI?
Mwanzoni wa kuingia vyama vingi Tanzania, kulikuwa na upotoshaji mkubwa unaliofanywa na Vyama vingine zidi...
Bado nasisitiza kuwa wakazi na wenyeji wa Jiji hili wamekuwa wakituangusha au kutopenda mabadiliko pamoja na mkwara wa kujifanya wanajua siasa au wanapenda mabadiliko kwani ukitazama rekodi za...
Niko makuburi nasikiliza mkutano wa chadema. Muda huu mnyika anaongea. Muda mfupi kidogo alizungumza mabere marando. Alisema kuwa helkopta moja ni ya fisadi mmoja kijana wa kihindi ana miaka 36...
Mbatia amefichua marando alimvyodanya marehemu MAMA yake, alivyoiba mali za chama NCCR Mageuzi, alivyokitelekeza Chama , na sasa ni mtetezi na wakili wa mafisadi. Kama wewe ni msomaji mzuri wa...
• Ni ule wa serikali kuimaliza CHADEMA
na Janet Josiah na Charles Ndagula, Moshi
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, ametangaza kunasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.