Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

  • Poll Poll
THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA AT DAR ES SALAAM ILLAMADHANI, C. J.; MUNUO, J. A.; MSOFFE J. A.; KIMAROJ,A MBAROUK, J.A.;LUANDA, J. A. ; And MJASIRI, J.A.) CIVIL APPEAL NO. 45 OF 2009 BETWEEN THE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kupitia e-mail yangu ya kazini nimetumiwa ujumbe huu Wakinge uwapendao na CCM vunja ukimya zungumza na mwenzio chagua CHADEMA, okoa Taifa lako na mafisadi badili mfumo kwa kura yako. CCM...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
HII INATISHA HALI BORA,MAISHA BORA !!!!!!!!!!!!!! mjengwa http://www.youtube.com/watch?v=ui1Hgs2ODDI&feature=player_embedded
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika pitapita yangu hapa jijini Mwanza nimejaribu kufanya utafiti mdogo tu juu ya nani ataibuka kidedea kwenye uchaguzi wa wabunge,JIMBO LA NYAMAGANA.Kwa uhakika kabisa,pasipo ushabiki MASHA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bashe afichua hatari zinazoikabili CCM Nzega Na Lucas Macha 25th September 2010 Hussein Bashe. Wenyekiti, makatibu kata na matawi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyakazi na kikwete hataki kura yangu mimi nina baba na mama yangu kule kijijini, nina kaka na dada zangu pia, lakini nina marafiki wengi wa kike na kiume, nina ndugu wengi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nimefanya utafitri hapa ofisini. Kuna wazee na akina mama kwa ujumla ni sita wanasema hawakupanga kupiga kura mwaka huu lakini sasa wanasema lazima wapige kura kwa kua wameona kuna mgombea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
“Hapa sana sana ni Veta ambayo tuliahidi, lakini hatukuitekeleza. Sasa tutajenga katika miaka mitano ijayo, tutaweka umeme. Vijiji 13 vya jirani vitapata maji kwa kuwa Sh428 milioni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kitu kisichopingika, kwani historia inaeleza bila kuficha: Kwamba ufisadi katika uongozi wa juu katika nchi huleta kulindana kwa hali ya juu na hivo kwa serikali husika kun'gang'ania madarakani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimegundua kuna wanjamii wanapost kwa mtindo wa bora liende.Niwa tahadhalishe kuwa hapa tunaelimishana kwa yale ambayo mmoja hajui.So we must provide information based on informed daata and not...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JK aomba kura kwa kukaa chini Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Jakaya Kikwete ,akiwa ameketi chini ardhini ili kumsikiliza Mama Sara Mageni mkazi wa Wilaya ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mgombea ubunge kwa ticketi ya CCM Jimbo la Arusha Mjini Dkt. Batilda Buriani, anadaiwa kufanikiwa kuukwepa mtego uliowekwa na maafisa wa TAKUKURU Arusha wa kumkamata kwa tuhuma za kutoa fedha kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
EDITOR, 23rd September 2010 A vividly pro-Willibrod Slaa weekly tabloid has used our name in a shameful attempt to prop up the Chadema presidential candidate's campaign, suggesting that he was...
0 Reactions
152 Replies
17K Views
  • Poll Poll
Saturday January 01, 2005 Local News Kikwete: Road project to go on...
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Wana jamvi, katika kipindi hiki ambacho tunaelekea uchaguzi mkuu watanzania hatuna budi kutafakiri kuwa tumetoka wapi,tupo wapi na tunaenda wapi.Maana ya kusema kuwa tunahitaji viongozi bora na si...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, hebu angalieni hiyo attachment ,alafu utajua sababu, kwanini, tusimchague jk, na tumchague DR SLAA
0 Reactions
1 Replies
995 Views
  • Poll Poll
JE JK ALIMTUMA KIBOSILE WA DAILY NEWS KUBEZA SHERIA YA UCHAGUZI? Kutoka TAZANIA DAIMA ambayo nakala yake imeambatanishwa na ninamnukuu Dr. Slaa:- “Akizungumzia tahariri hiyo wakati...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanza napenda kufurah kwa kuona jinsi vijana walivyokuwana muamko wa kila sehemu kuataka mabadiliko tumeona mod wametuwekea jukwaa la uchaguzi ombi langu si haba kukawepo na jukwaa la baada ya...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nauliza: Kutokana na yaliyojiri hivi karibuni -- hasa kile kiwewe kilichompata mgombea urais wa CCM kutokana na wimbi kali la nguvu za Dr Slaa -- kwanini mgombea huyo asiamuru kufutwa kwa kesi za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi namshauri asubiri 2015 ndo akombee URAIS mana wazanzibar bado hajamkubari
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom