Wale wapenzi wa CCM
inasikitisha sana kwa kushindwa kuona mama zako, kaka zako, watoto na vijana wenye nguvu wanakufa kila siku kutokana na uongozi usiokuwa na ufanisi na ufisadi.
Inauma sana...
WanaJF nimeikuta hii kali ya Idd Azzan-mgombea ubunge wa Kinondoni-CCM katika Majira ya leo 24/09/10 "Jamani hivi watu wanadhani bungeni ni kama darasani ambapo kila mtu anaongea anavyotaka, kule...
Jamani naombeni msaada hapa, hivi vyama vyetu vya siasa vinatumia vigezo gani kuteua wabunge wa viti maalum? Mfano wale wa CUF na Chadema 2005 - 2010 walichaguliwa vipi, vigezo vilikuwa ni nini...
Wana JF sasa sio siri tena, mgombea wa CCM jimbo la Arusha mjini anatoa rushwa bila kificho, wafaidika wa kwanza ni wakina mama wa soko kuu Arusha wanafuatia waendesha pikipiki na waendesha...
Jk kwa kweli ni mtu wa watu cheki hapo anakaa kwenye vumbi kuongea kwa unyenyekevu na mlemavu ni viongozi wachache sana wenye moyo wa kibinadamu kiasi hiki..
Wakuu,
Nikiwa kama mdau, nimesikitishwa sana na jinsi serikali yetu na hasa wizara ya afya ilivyoshindwa na inavyoendelea kushindwa kupambana mbu ambao uthibiti wao si mgumu hivyo.
Tanzania kama...
…..Kwa upande mwingine, Kinana amedai kuwa Chadema ni chama chenye Katiba inayolinda siasa za kimwinyi na kibebari, na si siasa za kijamaa kama ambavyo DK. Slaa amekuwa akiitumia kutoa ahadi...
Fidelis butahe, Iringa
ALIYEKUWA mshindi katika kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fredrick Mwakalebela jana alikuwa kivutio na kufunika mkutano wa kampeni wa mgombea urais kwa...
Anahojiwa Baba yake. Anaishi kwenye nyumba ya tope licha ya mwanawe kuwa bunge for 25 years,
Anaepnda sana kujisomea.
Anaongea kiswahili cha shida but ina mashaka na slaa kugombea hasa kutukanana
There has been marginal progress on governance in Africa since the 2005 baseline study. This increase is 2%, from 51% (2005) to 53% (2009).
Multiparty system flourishes, but with poor...
Watanzania wameshakubali kufanya mabadiliko makubwa. Rais Jakaya Kikwete ajiandae kuaga Ikulu, astaafu baada ya mika mitano ambayo haikuleta matumaini yaliyotarajiwa. Serikali isitumie mabavu...
katika gazeti la MwanaHALISI Uk. 2 imeonesha kuwa malipo yanayodaiwa kufanywa na CCM kwa serikali kutokana na kukodi ndege ya serikali kufanya kampeni yana warakini. ... kwenye hati ya madai ya...
WanaJF tumesikia habari mbalimbali ambazo zilionesha njama za kifisadi za CCM dhidi ya mali za umma au/na dhidi ya vyama vya upinzani, mfano wa Salma na Ridhiwani-matumizi mabaya ya fedha ya...
Mimi nawashangaa wale wote wanaoziponda kura nyingi anazopata Dr Slaa katika kura za maoni kupitia mitandao mfano Daily News, Mwanahalisi na hata humu JF. Jibu ni rahisi shule.
Wanaompa...
Dk Slaa, Prof Lipumba mambo bado moto WAGOMBEA urais kwa tiketi ya vyama vya Chadema na CUF jana waliendelea na kampeni zao wakitumia mbinu tofauti za kujenga hoja, huku Willibrod Slaa akimtaka...
Ndugu zanguni kuna mgombea ubunge kupitia ccm,siku nilipomuona nilistuka km vile nimemuona rostam aziz yule fisadi namba1 na ambaye ameiweka nchi mfukoni.........nataka kujua kwa wale wenye data...
As far as I have known Jakaya Mrisho Kikwete, HE is very much in LOVE with the PRESIDENCY. His ambitions was to become the president of the united republic of Tanzania which he acquired in 2005...
Habari za kuaminika zinasema kuwa leo ule mdahalo ulioandaliwa Zanzibar, wahudhuri hawakufika isipokuwa Maalimi Seif Sharrif pekee yake. Maalim Seif akihojiwa na waandishi wa habari aliieleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.