Yamesemwa sana nami nimeshuhudia.
Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Monduli akihaha kutafuta vifaa kama maturubai kwa ajili ya kampeni za Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM.
Je kama kiongozi...
Mgombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA kata ya Kati mjini Arusha Bwana Simba aumizwa vibaya kituo cha polisi wilaya ya Arusha.Bwana Simba alikamatwa na polisi kwa sababu ambazo bado...
Dr. Wilbrod SlaaTusianze kushangilia ushindi kabla hata kipenga cha mwisho kulia. Sote tuendelee kuhamasishana kuchangia ili wagombea wetu wote waweze kushinda. Vijana jitoleeni muda na vipaji...
Wakuu,
Katika pitia pitia zangu kwenye vyombo mbalimbali vya habari pamoja na hapa JF tokea kampeni zimeanza kumekuwa na habari nyingi sana za wagombea wa kambi ya upinzani kujitoa kwenye ugombea...
hili tunaliangaliaje ?
Jaji ashauri uchaguzi Zbar,Bara utenganishwe
Salim Said na Hawa Mathias
MAKAMU mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Jaji Omar Makungu amesema kuna...
Leo asubuhi gazeti la Raia Mwema limetoa taarifa ikisema "Wanamtandao wampa ....na kuendelea na takwimu ambazo kutokana na ile picha,chanzo ni hapa JF.
Katika poll ya JF kuna watu elfu 6700 ambao...
[B]Wana_JF:
Toleo la leo la Mwanahalisi ni moto wa kuotea mbali. Limekwenda hadi mvunguni na kuanika uongo uliokubuhu alioutoa Mwenyekiti wa Kampeni za CCM, Abdulrahmani Kinana kuhusu...
Nani kama Dr. Slaa???
Na tuweni wakweli? Katika wagombea URAIS bila kuangalia chama..ukiambiwa pigia kura "UADILIFU, HAKI na UZALENDO nani anastahili??? Jibu lako nani apewe uongozi wa...
Kikwete wetu na Basil Pesambili Mramba!
Johnson Mbwambo
Septemba 22, 2010
WAPENDWA, leo, nimeshawishika kuandika rejeo (rejoinder) kuhusu makala iliyoandikwa na Msomaji Raia katika...
Taarifa za sasa hivi ni kuwa mgombea ubunge kupitia CHADEMA Bw Focas amejiondoa katika kinyanganyiro hicho hivyo kuwacha wagombea wa CCM na CUFAwali ilidaiwa kuwa focas ambaye anamiliki vifaa vya...
Matokeo ya Kipima joto cha ITV kilichohoji Mtazamo wa Wananchi juu ya utekelezwaji wa Ahadi ya Kutoa Afya na Elimu Bure inayotolewa na Mgombea-Urais wa CHADEMA, Dr. Slaa kama inatekelezeka...
Katika kampeni za uchaguzi jimbo la Kawe, wananchi wa Kawe walimuuliza mgombea wa Chadema, Halima Mdee, ni kwa jinsi gani atawatatulia kero ya kufungwa kwa njia ya ‘short cut' kwa kutembea...
PIGA UAAA FISADI WA SIMU!!!!
CHOMA MOTOOOOO!!!!
LAKINI WATU KAMA HAWA CHINI MBONA WANANCHI WANALALAMIKA TUU KWANINI HAWAWACHUKULII SHIREA MKONONI? AU WAO HAWANA HATIA MPAKA SIKU...
Jana nilibahatika kukutana na kiongozi mmoja wa CCM wa eneo la Ilala National Housing /Msimbazi, nikawa namcharura kuhusu mikutano yao ya kubeba watu na mabasi zaidi ya 17 kuwapeleka kusikiliza...
Mbona wana CCM hawaoni aibu kuchangia chama chao na kuomba fedha kutoka kwa wananchi tena kwa mbwembwe zinazosindikizwa na wasanii wa kizazi kipya waliochakachuliwa?
Wengi wanaonesha wanataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.