Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wadau, ningependa nijue huyu bwana mdogo ("First brother") wa TZ huwa anaongea nini huko anakozunguka akipiga siasa. Maana najua huyu dogo hana point kabisa, nataka yeyote anayejua ambayo huwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
MJUMBE wa Kamati ya Kuratibu Kampeni za Urais za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Raphael Chegeni amelisakama gazeti hili akidai lina agenda ya siri ya kukihujumu chama hicho na kuipendelea...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Laana ya kuwapigia kura MAFISADI ni kubwa, tafadhali tuchukue hatua. Pigia kura watu makini bila kujali chama chao
0 Reactions
1 Replies
1K Views
== Kabla ya kuamua kuitupilia mbali hoja ya mgombea binafsi wa urais? ... waliogopa kuwepo watu waliomashuhuri na kuaminika kuweza kumpiku urais Mh. Kikwete? ... waliogopa kura kutawanyika sana na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Half of Std 7 pupils 'illiterate' Wednesday, 22 September 2010 09:55 By Subira Kaswaga Despite the enormous advance in education made possible by investments worth trillions of shillings each...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ukitaka kujua mambo yanavyokwenda ndani ya CCM, msikilize mama Salma, kwa jinsi asivyokuwa na uwezo mkubwa wa kupambanua mambo basi ya ndani yanatoka nje. CCM kumtumia Salma ni sawa na mwananke...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Watoto wa shule wakiwa kando kando ya barabara kumsubiri mgombea urais kwa tiketi ya CCM JK kwa muda huu walitakiwa wawepo darasani kujisomea na kufuta adui namba moja Ujinga nchini. Hawa ndo...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema Tanzania imefanya vizuri katika elimu, kupunguza umasikini na kukabiliana na magonjwa ya Malaria na Ukimwi. Alisema juhudi hizo zinafanyika, ikiwa ni katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Upinzani ukituzidi tutawatumia Mwinyi, Mkapa-Kinana Mwenyekiti wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi Mwenyekiti...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kampeni ya JK Iringa mjini, kweli ni full fiesta maana hadi wazungu wapo kushuhudia burudani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bunge lilipovunjwa, kwa mujibu wa katiba kwa sasa hakuna wabunge. Sasa inakuwaje Sitta anatumia ofisi hiyo? Huko si kuvunja sheria? Je, pia sio kutumia mali ya umma kufanyia kampeni? (Nipashe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
50% ya idadi ya watu Tanzania ni watoto - under 18. Watoto wanatuomba tumchague Dr. Slaa kuwa Rais wa Tanzania kwani agenda zao zimo kwenye Ilani ya uchaguzi ya Chadema - elimu bure mpaka form...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu ni muda mrefu nimekuwa nikitatiswa sana na matamshi ya huyu katibu wangu, amekuwa na matamshi ya ..kuropoka ropoka tu. Juzi kwa walioangalia taarifa ya habari Channel 10 .nilimuona na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wakati ccm ikiuguza machungu ya sintofahamu ya matokeo ya kura za maoni ndani yake (iringa, dodoma,nk) kwenye kinyang'anyiro cha kampeni uchaguzi 2010 hasa kwa ngazi ya ubunge na udiwani, hali...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna vitu vinapikwa, stay tunned. MJ
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Vuguvugu la uchaguzi nchini Tanzania limechochewa sana na ujio wa Dr Slaa katika ulingo wa kugombea kiti cha uraisi. Kila kona ya nchi na gazeti habari ni Slaa Vs Kikwete. Ingalitegemewa kampuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Newly appointed Director of Arusha Municipal Council, Estomi Chang’ah started working yesterday by approving an objection filed by CCM candidate for Arusha seat, Dr Batilda Buriani against her...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa, akimnadi mgombea ubunge katika Jimbo la Hai kupitia chama hicho, Freeman Mbowe, wakati wa mkutano wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatilia sana ITV ya Mzee Mengi namna inavyo-cover kampeni za uchaguzi na nikagundua kwamba sasa kituo hicho sasa kiko benet na Channel 10 – kinachomilikiwa na mafisadi akina RA na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, John Tendwa, ametetea hatua ya mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete, kuhusu kufanya mikutano ya kampeni zaidi ya saa 12 jioni na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom