Katika gazeti la Mtanzania 21/09/2010 imeandikwa kwamba Mama Salma amesikitishwa na kuangushwa kwa Mwantumu Mahiza, Naibu Waziri wa elimu. Kwenye Majira 21/09/2010 Mama Salma anasema kuwa WAMA...
Napongeza jitihada za Chadema, kwenye kampeni zao za uchanguzi, Watanzania tumekuwa tukifuatilia maoni na mapendekezo ya Watanzania wanaopenda mabadiliko ya uongozi wa taifa letu.
Hali kwa...
This will happen on sunday 31st October, 2010 whereby CCM will be burried at the NEC Cemetery.
You are all welcome to say a word of goodbye to our neighbour!!
WanaJF, nimegundua kuwa ni CHADEMA na vyama vingine vya upinzani ndiyo vinasema kuwa vikipata madaraka vitapiga vita ufisadi. Je ni kwa sababu CCM imejaa mafisadi wengi?
The secret of victory votes to Ikulu
Revealed: The secret of victory votes to Ikulu
By Guardian on sunday team
19th September 2010
However, according to our analysis, Dodoma, Tanga and...
Ulimi wamponza Yusuf Makamba
wakazi Kariakoo wadai amewadhalilisha
Washinikiza aombe radhi, ajiuzulu
Kauli iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bw Yusuf makamba...
Mchumba wa Dk. Slaa, Josephine, akisalimia wananchi wa Karatu mkutanoni, juzi Alhamisi.
Dk. Slaa hatumii shangingi. Hiki ndicho kipanya anachotumia katika ziara zake za kampeni. Katika picha...
jamani tumsaidie kikwete kama binadamu mwenzetu kwa nia nzuri tu juu ya mwenendo wa kampeni za uchaguzi na uhuni wanaomfanyia wenzake/timu yake ya kukusanya watu kwa malori,kuwapa elfu hamsini...
Wananchi wenzangu kuna suala nahitaji tuliangalie kwa uzito wake; je ktk uchaguzi wa mwaka huu wafungwa watapiga kura kuchagua rais, wabunge na madiwani?
Mwanzoni mwa mwaka huu nilibahatika...
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amedai kwamba wale wasiorudisha Fomu za Gharama za Uchaguzi hawataongezewa muda na wataondolewa katika kujihusiha na uchaguzi!
Kazi ipo mwaka huu, wagombea...
Nimeelezwa na jamaa aliyekuwapo uwanja wa mashujaa Moshi katika kampeni za JK Moshi kuwa hali haikuwa kama picha zilizoonyeshwa TBC1 ktk taarifa za habari. Ukweli ni Kuwa CCM walitangaza kuwa...
WanaJF tarehe 01/09/2010 Television ya CCM (CCMTV) au kwa kifupi TBC1 muda wa kuanzia saa 3 usiku warusha kipindi maalum "utendaji wa Jeshi letu" kabla ya hapo serikali ilitoa taarifa kuwa tarehe...
Tufikiri upya na kwa makini zaidi.
Nadhani ni wakati mwafaka sasa tukae na kujiuliza kama mtu/chama kinaweza kuwa madarakani kwa miaka mingi na mtu ukasema hakijafanya chochote.Kujifunza nini...
katika mkutano wake wa kampeni huko Arusha Dr. Slaa ameahidi kuunda baraza la dogo la mawaziri ambao hawatazidi 20 ukichanganya na manaibu wao, wizara zitakuwa kama ifuatavyo:
1.fedha na uchumi...
Jamani, baada ya kasi mpya, nguvu mpya kushindwa, sasa waja eti na kasi zaidi, 'maisha bora' yaliposhindikana, wakaona walete 'kilimo kwanza'. sentesi hizi sizielewi kabisa, bora waseme ufisadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.