MAJIBU dhidi ya mke wa Rais Jakaya Kikwete anayokabiliwa na tuhuma za kutumia fedha za serikali katika kampeni limekanushwa na kutolewa ufafanuzi na chama hicho...
Please, kuna anayejua matokeo ya Kura ya Maoni yanayotarajiwa kutolewa hivi karibuni na Kampuni ya Snovate (zamani Steadman)? Nani anaongoza kura hii ya maoni baina ya wagombea urais wa Jamhuri ya...
Kuna ule ukweli kwamba DAMU nzito kuliko maji ambao ndio hasa unambeba mtanzania hyyu ambaye ameandamwa na kila aina ya harufu ya ufisadi na ujambazi wa mali za umma.
Kwanza kwa kulazimika...
katika hali inayoonyesha kuwa kuingia kwa Dr. Slaa katika uchaguzi wa mwaka huu ni pigo kubwa kwa CCM na Kikwete, CCM wanahaha kutafuta ushindi ambao wanadhani unaweza kuwaponyoka wakati wowote...
Jana nilikuwa mitaa ya Sinza Kumekucha,nilikuwa napita nikakuta wana CCM wako kwenye Kampeni,na mgeni wa heshima alikuwa Hiza Tambwe,kwa hakika nilishangaa kuona vijana wengi wahuni wasichana kwa...
Revealed: The secret of victory votes to Ikulu
By Guardian on sunday team
19th September 2010
Email
Print
Comments
About ten regions holds crucial key to decide who...
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Urambo Mashariki, Tabora, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samuel Sitta, ameelezea kushangazwa na kauli za baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani kwamba...
Mgombea urais wa Ccm amekuwa akifanya mikutano ya kampeni sehemu mbalimbali nchini. Mikutano hiyo imekuwa ikifanywa ionekane mikubwa sana kwa kusomba watu kwa mabasi na malori kutoka sehemu za...
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya, ameainisha sababu kadhaa za kumpigia kampeni...
na Tamali Vullu, Mbulu
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, amesema serikali yake ijayo itazipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini ziwe za rufaa, ili...
wakati kampeni zinaendelea kupamba moto mpaka sasa hatujawasikia Mkapa, Mwinyi, Msuya, Warioba na Sumaye wanampigia kampeni Kikwete....kuna tatizo gani? au ndo wamemtosa? Nyerere alimsaidia sana...
Ninasikia vyuo vingi vya Tanzania hasa vikuu vitafunguliwa baada ya uchaguzi except SAUT ambao wanafungua kesho.
Implication
I. Vijana waliojiandikisha maeneo ya vyuo wasipige...
Nimemesoma kwa masikitiko makubwa kuwa wananchi wa monduli wataendelea kumchagua lowasa kwa sababu amewaletea maendeleo makubwa katika jimbo lake. Kwa mtazamo wangu naona hii inaonyesha jinsi...
Kampeni zamngoa Mkurugenzi Arusha
Harakati za uchaguzi mkuu jimbo la Arusha, sasa zimechukua sura mpya baada ya kuhamishwa ghafla Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Raphael...
Katika hali isiyotarajiwa na inayotia shaka Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema Ndugu Godbless Lema amekutwa Bar akiwa amekaa na viongozi wa andamizi wa Chama Cha Mapinduzi katika Bar ya Family...
Uchaguzi wa Mwaka huu hautaleta mabadiliko makubwa kwenye ngazi ya Raisi na hata Wabunge na Madiwani pamoja na kwamba hapa JF panaonyesha kuwa watu wanamwamko mkubwa wa mabadiliko.
Nikiangalia...
Wakuu kesho Dr W Slaa atakuwa na mikutano miwili jijini Arusha.Mkutano wa kwanza utaanza saa nne asubuhi Mbauda sokoni na mwingine utafanyika saa tisa Kijenge.
Dr W Slaa ataambatana na makamanda...
Kwa kweli kuna mwamko na hamasa kubwa baada ya ujio wa Dr Slaa.Kwa sie tulio mbali na huko nyumbani kipimo kidogo ni comments katika tovuti za magazeti na nyinginezo.Binafsi nimekuwa nikifuatilia...
Siku ya jumanne tarehe, 21/9/2010, DR SLAA, anatarajia kuhutubia wakazi wa tarakea, na kutumia uwanja wa shule ya secondary Tarakea, ambao uko zaid ya kilomita 3, kutoka tarakea mjini, tangazo...
Mwaka wa huu wa uchaguzi tume ya taifa ya uchaguzi inakuwa na bajeti iliyopitishwa kughaimia uchaguzi katika kila jimbo
Je wastani wa gahrama ya uchaguzi kwa kila jimbo ni shilingi ngapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.