kauli mbiu iliyoandikwa ktk mabango ya mgombea wa chama cha mafisadi CCM.. aaah samahani jamani wana JF, CHAMA CHA MAPINDUZI, hivi hii kazi ,Ari zaidi, ni kitu gani kasi zaidi wanakokimbilia...
Akimnadi Lowassa, Rais Kikwete alisema, huyu ni mtu anayewapenda sana, anawahangaikia sana, haya yote (mafanikio) yanayosemwa sasa yametokana na juhudi zake hakuna mwakilishi mzuri kushinda...
Several years ago I wrote an article in the local press that put forward a simple hypothesis: If it is true that whatever is taken to the marketplace is for sale and that what is for sale, for the...
Lisu akoroga msafara wa Slaa
Monday, 06 September 2010 20:13
Salim Said, Singida
MGOMBEA wa kiti cha ubunge wa Singida Mashariki kupitia tiketi ya Chadema, Tundu Lissu, amevuruga msafara wa...
JK amnadi Profesa Maji Marefu Korogwe vijijini leo
JK akimnadi mgombea ubunge wa CCM kiti cha Korogwe Vijijini Bw. Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu mchana huu katika kijiji...
MBIO za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea katika mkoa wa Shinyanga, zimeingia dosari baada ya baadhi ya wakimbiza mwenge huo kitaifa kuonyesha wazi wazi kukipigia kampeni Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Thursday, 09 September 2010
Waandishi Wetu
MGOMBEA urais kupitia CCM, Jakaya Kikwete ameviponda vyama vya upinzani akisema kuwa huibuka wakati wa uchaguzi tu, ukimalizika vinayeyuka. Kauli...
kwenye taarifa ya habari TBC1 leo nimemuona mzee Makamba anaropoka kama kawaida yake alisema: wanataka mdaharo ila lazima wajue niwatugani wanaenda kukutanao yaani siku ya mdaharo, maswali yapi...
Wakuu leo Mheshimiwa J Kikwete anatarajiwa kufanya mkutano wa kampeni mjini Arusha muda wa saa 10 jioni kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sheckh Amri Abeid.Tayari shamra shamra za mkutano wake wa...
Jana katika kipindi cha 'This week in Perspective' kinachorushwa na TBC1, mwezeshaji wa kipindi alikuwa anawahoji Prof. Rweitama (UDSM), Maria Shaba (freelance journalist), Dr. Kitine (kada wa...
Tanzania.....Tanzania....Nakupenda kwa moyo wote!
Tanzaniaaa Tanzaniaaaa, nakupenda kwa moyo woooteee, Nchi yangu Tanzaniaaaa Stori zako ni tamuu saanaaa!!
Nilalapo namwaza...
Wadau... hatuna budi kutenda haki.... tutembelee hapa kampeni za Dk. Ali Mohamed Shen Zanzibar mwaka huu.
Dk. Ali Mohamed Shein - Tovuti Rasmi ya Kampeni ya Urais wa Zanzibar 2010
Watu wengi wamekuwa wakitilia shaka sana kwamba elimu bure mpaka form six haiwezekani! Ninajua kwa viongozi wa ccm wanaomaliza muda wao wa kutawala mwaka huu wanalijua hilo, kwamba elimu bure...
Vile vile Dokta Slaa, alisema Rais Kikwete amevunja rekodi ya kudanganywa kuliko marais wote duniani katika miaka mitano iliyopita. Alisema mwaka mwaka 2007, JK alifungua mradi hewa wa maji huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.