Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kwa kweli mgombea wa CCM anachemsha vibaya, 2005 kwetu alituahidi umeme toka Makambako mpaka Songea mjini. Hamna cha umeme wala nini? Juzi CCM wameahidi kujenga reli toka Mtwara mpaka Songea ndani...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Angalia picha hii akiwa njiani kuelekea Mvomero wiki iliyopita,Chuo Kikuu cha Mzumbe na Uzinduzi wa kampeni viwanja vya Jangwani.Mbali na urais,bado ni mmoja ya watanzania wanaoheshimika na...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
na Andrew Chale CHAMA cha Tanzania Labor Party (TLP) kimesema kuwa tabia ya Mwenyekiti wa Chama hicho, Agustine Mrema kumfanyia kampeni mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jakaya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
As a Tanzanian living in the United Kingdom,I am quite appreciative of the role played by the British people in assisting fellow Tanzanians in form of development aid especially at the time when...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niliweka article yenye kichwa hicho hapo juu. Naitafuta, sioni je Mods mmeiweka wapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moja ya vitu vinavyo waumuza kichwa wapanga mikakati ya ushindi wa CCM ni kupoteza viti maalumu. Viti maalumu hutolewa kwa uwiano wa kura anazopata mgombea urais. Hivyo basi kama mgombea wa CCM...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Maoni ya katuni Wakati wa mchakato wa uchaguzi, kuanzia kura za maoni, uteuzi wa wagombea, kampeni, upigaji kura na kutangazwa kwa washindi, kumekuwa na kawaida ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi,mpaka mtu ajinadi kwa bendera ya taifa na picha ya Nyerere ndo aaminike??????Doh!Inamaanisha mtu haamini ndani ya nafsi yake kwamba anaweza kusimama peke yake na watu...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Bhandugu imekuwaje tena hawa magangwe wa sanaa za mipasho ya siasa hatuwasikii kama zamani kwenye kampeni za CCM? Au wameamua kutoa pande kwa bongo fleva wajirambe na fiesta ya kuwanadi wanaccm...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Weekend iliyopita nikiwa natafakari ugumu wa maisha, iliingia message kwenye simu yangu kwa namba ambayo sikua nayo kwenye simu yangu. Nikasema ngoja nishare hii message na wanajamii wenzangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Utoaji wa huduma za Afya uliendelea kuboreshwa kwa kiasi kikubwa na kuleta mafanikio yafuatayo:- (a) Kutoka mwaka 2005 hadi 2009, jumla ya zahanati 464, vituo vya afya 98 na nyumba za waganga 394...
0 Reactions
88 Replies
7K Views
Utafiti haupingwi majukwaani, bali kwa kufanya utafiti mwingine na kuthibitisha kwamba ule wa zamani haukuwa sahihi. Uzalendo sio kupinga utafiti bali kuufanyia kazi mapema kabla mambo...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Revealed: The secret of victory votes to Ikulu By Guardian on sunday team 19th September 2010 About ten regions holds crucial key to decide who will win or lose the election on October 31...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mgombea ubunge jimbo la Bukoba mjini,Bw Kasimbazi amegoma kushiriki katika mdahalo wa TBC baina yake na Wilfred Lwakatare uliokuwa ufanyike jana jumapili mjini Bukoba.Wafanyakazi wa TBC wakiwemo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Utawala ukifitinika hauwezi kusimama, ni ujumbe wenye maneno machache lakini ukiwa umebeba ujumbe mzito. Utawala wa CCM umefitinika na kwa hiyo ni mwaka wa kuaga ikulu. Tumeshuhudia migogoro...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Jamii (CCJ) - almanusura niandike CCM! - Richard Kiyabo, leo "amerejea" na kukabidhiwa kadi rasmi na Katibu Mkuu, Yusuf Makamba. Habari zilizotangazwa sasa hivi...
0 Reactions
129 Replies
10K Views
Waungwana niko Mtwara leo, na kama nusu saa iliopita nikiwa kituoni nasubiri dala dala niendelee na mizunguko yangu, yamepita maroli yanawarudisha wana CCM majumbani mwao, kutoka kwenye campaign...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Watanzania acheni udokozi mpate ajira – JK Imeandikwa na Na Paul Sarwatt, Arusha; Tarehe: 19th December 2009 @ 23:59 Imesomwa na watu: 762; Jumla ya maoni: 1RAIS Jakaya Kikwete amesema tabia ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
'' Mimi nakwenda kule (ulaya na Marekani) kuhemea .Nikirudi narudi na Kibaba'',Kauli hiyo ilinikera kiasi cha kusababisha mapigo ya moyo kuongezeka,Kwa mtazamo wangu ,haya ni maneno ya ajabu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom