Vijana "CCM" wamwogesha mwenzao Chadema - Habari Leo.
KUNDI la vijana tisa wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa CCM mjini hapa, wanadaiwa kumvamia kijana mkereketwa wa Chadema na kumvua nguo...
Dk. Slaa, Sitta kuvaana ruksa - Makamba
na Irene Mark
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, amerudia kauli yake inayowazuia wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya chama...
Ijapokuwa MRAMBA, ana kashifa kubwa ya matumizi mabaya ya uongozi, jk amempigia debe B MRAMBA, achaguliwe tena kuwa mbunge wa ROMBO, JK alikuwa anampigia debe MRAMBA, leo katika mkutano wa siasa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Baada ya Baba wa Taifa Mwalimu J. K. Nyerere kusoma alama za nyakati na kuelewa kuwa kwa uwezo wake wa kibinadamu aliweza kuwafikisha Watanzania mahali alipowafikisha...
NAAPA huu ndio muda wa kulishwa ahadi hadi tunajiona pepo ikitusogelea.
Nasema kama kila kinachosemwa kitatekelezwa mbona Bongo itageuka pepo mwanangu?
Kama kila ziwa kubwa hapa nchini...
Nilishangazwa sana na kitendo cha Nakaaya kuamua kukabidhi kadi ya CHADEMA kwa Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni mgombea urais kupitia chama hicho. Nakaaya kwenye Magwanda ya CHADEMA nilikuwa...
Kumekuwa na ubishani mitaani kama kweli ahadi ya CHADEMA ya kutoa huduma za jamii kama elimu bure inawezekana.Hilo linawezekama bila ya shida yoyote kupinga ni uvivu wa kufikiri kwa baadhi yetu...
CUF yaomba fedha za kampeni kwa mafisadi?
Kuna tetesi kuwa Mbunge wa kuteuliwa wa Chama Cha Wananchi (CUF), Ismail Jussa, wiki hii amekutana na mtuhumiwa mkubwa wa ufisadi hapa Tanzania, Yusuf...
Hi wana jimii kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwaa la uchaguzi 2010 nimeona nianze kwa kuwakumbusha vijana wenzangu zile kadi siyo za kufungulia account za benki tu lakini 31 october...
Jana Niliona kwenye TBC1 wakati Viongozi wa Chadema Wakihojiwa ( Prof. Baregu na Mabere Marando).
Katika uchambuzi Prof. Baregu aligusia point moja kuu sana ambayo nadhani inachangia sana kwa...
MGOMBEA ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chadema, Joseph Mbilinyi amewaahidi wananchi wa Mbeya kuwa endapo atachaguliwa kuwa mbunge atahakikisha serikali inaweka bandari ya nchi kavu...
Baada ya masha kumdhalilisha kikwete kuhusu uraia wa bashe, spika sita naye ameongeza zaidi.amedai kuwa dr.slaa ni saizi yake,wawe na mdahalo na wamuache kikwete afanye kampeni tu.
Tunajua...
CCM wavamia mkutano wa Dk Slaa Friday, 17 September 2010 07:31 0diggsdigg
Katibu mkuu wa CCM Mr Yusuf Makamba
Tumaini Msowoya, Iringa na Boniface Meena, Bariadi
WAFUASI wa CCM jana...
Napenda kuushauri uongozi wa CHADEMA watenge kama shilingi milioni 12 na kuweka matangazo yasiozidi dakika moja kwenye redio angalau tatu. Matangazo hayo kwa kila redio yatangazwe angalau mara nne...
Wadau ule ushirika wa Zitto na Kafulila katika kampeni uko vipi huko Kigoma??? Coz ilivuma sana katika media then, but naona imekuwa kimya sana. Mwenye taarifa na atujuze kinachoendelea eti...
Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa Ilani ya CCM inadanganya
15 September 2010
ILANI ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2010 imesheheni takwimu zinazokinzana, imegundulika.
Katika...
Nimekuwa nikisikia minong'ono ya chini chini ambayo sasa imeanza kupazwa sauti na wagombea wa CCM kuwa ahadi za mgombea urais wa Chadema, Dr W Slaa, ni za uongo na hazitekelezeki. Kuna watu ambao...
Ingelikua nimeambiwa, wala singediriki kuyasema haya, lakini kumbe ni uongo?
Kwanza, JK ametamka jana kwenye kampeni mkoani Kilimanjaro kwamba Serikali imefanikiwa kuwapeleka watumishi 47 wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.