:eyebrows: Prof. Lipumba anatueleza kwamba Jk hawezi taabu pale anaposema:
Mheshimiwa Kikwete namjua, nimesoma naye, tangu zamani ni mtu asiyeweza tabu [taabu], asiyependa tabu...
Hivi mama salma kikwete , mke wa Rais Jakaya Kikwete ,Rihwan Kikwete Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete ni sehemu ya uongozi wa taifa letu? kama jibu ni ndiyo ni ibara gani ya katiba ya jamhuri ya...
Kwa waliokuwa wanatizama taarifa ya habari ya saa mbili usiku leo TBC1 bila shaka mmeyaona.
Ndugu yangu Richard Ndassa alikikoroga, na mie sijapata kitu kabisa.
Kanuni na sheria zasemaje...
Kinacho endelea kwasasa kwenye TBC ni wazi ya kuwa CCM wanatuonyesha wazi kuwa wananchi hawatakiwi kuufahamu ukweli wa maovu wa yatendayo, kwa kitendo cha TBC kutoonyesha kampeni za CHADEMA...
Wadau...Mlimuona huyu dada jinsi Alivyozomewa baada ya kuanza kumkampenia JK..siku ya Shindano la Miss Tanzania...!
I think angekuwa na Akili angeweza kuibuka hata na Taji lile ila...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepata umaarufu mkubwa na kuandikwa zaidi na vyombo vya habari hapa nchini...
katika zile harakati za kuhakikisha kigoda anashinda, msimamizi wa uchaguzi jimbo la muheza amebania barua ya kutupiliwa mbali pingamizi alilowekewa bw.saidi salehe mweto na mgombea wa ccm...
Wadau, sasa hivi kuna kipindi kinaendelea cha mdahalo wa wagombea tarime huko
Mgombea wa Chadema anaonekana kushangiliwa sana na wahudhuriaji (Mwita Mwikabe)
Aliyemtangulia (Mwera) amemung'unya...
Binamu zangu wawili wanaofanya kazi serikalini hawajaona ongezeko lolote la mishahara na haionekani kama malipo ya mwezi wa tisa yatakuwa na nyongenza hiyo. Kuna yeyote ambaye anataarifa tofauti?
Wengi hapa tumesoma yaliyotokea dodoma kwenye mkutano wa bilal. Jamaa alikosa watu kabisa ikabidi malori yatumike kutafuta watu sehemu zingine na kuwaleta kwenye mkutano (kwa mafungu).
Hawa...
Kwanini lawama zote apewe mama salma....kuna watu ndani ya ccm wanamtumia huyu mama unafikiri maamuzi anayo yeye?au ratiba anapanga yeye?huyu mama yeye anatumika kwa maslai ya chama lakini...
JK claims that it is not possible to offer free education (The Guardian, 15/09/2010). Is it to tell the poor that under CCM government they should forget about better and affordable education? Is...
Wanabodi,
Hizi ni ilani za uchaguzi za vyama vitatu vikuu vya siasa hapa nchini, CCM, CHADEMA and CUF.
Wataalam wa uchambuzi, naombeni m-compare and contrast.
Attachments zinafuata.
IMANI YA CCM
Binadamu wote ni Sawa
Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru
AHADI...
Kutokea kuanza kwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010, mgombea urais wa CCM Mhe Jakaya Kikwete na wapiga debe wake wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana kukwepa hoja zinazosababisha umaskini wa...
'' Vi 'Inzi" Vilivyotangulia mitaa ya obwere ka bwana Shirati Rorya Ngome ya Mwasisi wa Mageuzi Nchini Hon Learned Mabere Nyaucho Marando (Juock Ping) vinadokeza kuwa Wananchi wa Shirati...
CCM sasa ni ya matajiri, maskini wakafie mbele!
Wengi wakimbilia Ubunge, Udiwani kuficha maovu yao
Agizo la kutenganisha biashara na siasa lawekwa kapuni
Na Daniel Mbega...
Ilani ya CCM yadanganya
Ilami ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2010 imesheheni takwimu zinazoikinzana, imegundulika.
Katika ilani hiyo, ambayo anatumia mgombea Jakaya Mrisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.