Katika pita pita yangu sijaona matangazo wala picha za Mgombea urais wa CHADEMA na Wabunge wa Chadema kwenye Bango lolote!!! Si mijini wala vijijini.
Chadema imekuwaje kwani, maana watu wa...
Kuna taarifa kuwa Synovate wapo njiani kutoa matokeo ya maoni ya watanzania kuhusiana na uchaguzi 2010.
Wasiwasi wangu ni kuwa bado watatumia sampuli ya watu 1,000 - 2,000 ambapo huenda wasipate...
Wadau, kuna yeyote ambaye anaweza kupata ratiba za Wagombea Urais- Dk. Slaa. Prof Lipumba na Kiwete?
Mtubandikie hapa ili tuweze kujua lina wagombea hao watatembelea mikoa yetu twende...
Serikali ya kijiji CCM yahamia Chadema
Na Anceth Nyahore
15th September 2010
Yumo Mwenyekiti na wajumbe wake sita
Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Mwabagimu, Kata ya...
nduzu zanguni kwani watanzania wote ni ccm?ukipitita barabara ya sam nujoma utakuta watu wanaweka bango katikati ya barabara,mi nauliza hizo sehemu kweli ni kwaajili ya mabango au ndio ccm...
Kutoa maagizo kwa mkuu wa mkoa wa Mara, Mafuru, awaambie wana usalama wampeleke yule mjane ikulu ndogo ili amweleze shida zake ni sahihi kweli? Kwa nini asitoe maagizo kwa mwenyekiti wa UWT? Hivi...
Itakuwaje Dr Slaa asipochaguliwa kuwa rais? Agombee uspika? ili kuendelea kutetea wanyonge bungeni? Aelekeze nguvu kwenye chama ili ifikikapo 2015 Chadema kiwe imara zaidi?
Najiuliza tu nini...
HII KWANGU NI AJABU!
nilichoona cha ajabu jana kwenye taarifa za habari itv,star tv na tbc1 ni kuwa.................tbc1 ilionesha kuwa mkutano wa chadema kulikuwa watu wachache saaan wakati itv...
Naomba nieleze kwa ufupi mambo muhimu yafuatayo, ambayo kama taifa inabidi tuwe serious nayo,kipindi hiki si cha mzaha kama baadhi ya watu wanavyodhani; Dr. Slaa ameeleza vizuri sana kuhusu ahadi...
Hivi NEC na Tendwa mko wapi? JK amekuwa anagawa pesa huko Tunduma kwa wapiga kura kwa kisingizio cha kusaidia walemavu, je huku sio kununua kura za hao walemavu? Sheria ya gharama za uchaguzi...
Awali katika uchunguzi huo wa kina wa waandishi wetu ambao walifanikiwa kumkuta Mahimbo akiwa amejificha juu ya ghorofa, nyumbani kwa kigogo mmoja wa serikali hapa jijini Dar es Salaam...
Hii hapa imeripotiwa na IPP kutoka Musoma jana.
Tangold ambayo tulielezwa ni ya serikali ilisajiliwa Mauritius na mmoja wa wanahisa ni Andrew Chenge, lakini tunaambiwa mwenye hisa anaweza...
Ukifuga mbwa akiuma watu njiani unashtakiwa wewe mfugaji.
Sasa ukichagua viongozi wabovu, wezi na wasiojali umma wa watanzania kama inavyoonyesha, utakuwa umeshiriki moja kwa moja kuharibu nchi...
Japo mie mgeni
Kunako jamvini
Si wa fikra asilani
Hilo nataka mbaini
Enyi wana wa nchi
Nchi yenu i uchi
Mabedui wanaisachi
Toka enzi i bichi
Wameishika pabaya
Waichezea ka' malaya
Mwasikia enyi...
Mkutano wa Bilal wakosa watu,
Magari yakodishwa kuuokoa
Fukuto la kura za maoni lingali linachemka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasi cha kuathiri mahudhurio ya wanachama kwenye mkutano wa...
Hivi mwandishi gani wa TBC yuko kwenye msafara wa Dr SLAA,? maana, lipumba ameambatana na NOELI MWAKALINDILE, Kikwete amepewa pia mwandishi.Naombeni msada wenu .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.