Mgombea CHADEMA apigwa kinyama
na Violet Tillya, Arusha
MGOMBEA udiwani kwa tiketi ya Chama Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kata ya Mjini Kati, Salumu Seif Simba, amelazwa katika...
Hivi hawa polisi wanaokuwa zamu, vituoni, barabarani na kusimamia vituo vya kupigia kura muda wote wanapiga kura saa ngapi na wapi? Au wenyewe huwa hawataki kupiga kura? Au CCM wanajua wakipiga...
Waliokuwa wanasema Chadema haikujipanga kwa kampeni walikosea, baada ya Zitto kusawazisha mambo nyumbani ameanza kampeni zake katika mikoa ya Pwani na Kusini kwa lengo maalum.
NAIBU katibu mkuu...
Wadau,
Jana lilizinduliwa tamko rasmi la wanaharakati wasio wa kiserikali - kuelekea Uchaguzi Mkuu 2010, pale Blue Pearl Hotel.
Please see attachments.
Wakuu kama tutakumbuka toka mfumo wa vyama vingi uanze in 1995 kila uchaguzi mgombea uraisi wa CCM picha yake huwa ya kwanza kwenye ile karatasi ya kura, i.e far left.
Je mwaka huu vyama vya...
NEC imetangaza mikakati ya kulinda kura wakati wa uchaguzi
Mkakati wa kwanza
- Matokeo yatajumlishwa kisayansi majimboni na ya urais yatabandikwa kila yatakapohesabiwa
- Kutakuwa na kituo cha...
"The United States will focus our development efforts on countries like Tanzania that promote good governance and democracy; the rule of law and equal administration of justice; transparent...
Ningependa kuuliza wana jf,kwenye fomu za kuwania ubunge hakuna kipengele cha- jee umewahi kushtakiwa kwa kosa la jinai?nashangaa kikwete ni kiongozi wa serikali na kila siku anatamba kesi za...
WanaJF nimeikopi hii mahali, Tafakari, chukua hatua
KIONGOZI BWM Vs JK
MWAKA 2000 -2004 Vs 2005-2009
Unga 460 Vs 1000 = 217%
Mchele 600 Vs 1200 = 200%
Sukari 760/kg Vs 1600/kg = 210%...
Kinana anasema Dr Slaa akipunguza mishahara ya wabunge haitotosheleza matumizi anasahau kwamba kuna Methali ya Aba na Aba Hujaza Kibaba nakumbuka vizuri Dr Slaa amehahidi hata kupunguza baraza la...
Habari iliyoripotiwa na Sadick Mtulya kutoka Zanzibar na kuchapishwa katika gazeti Mwananchi inasema kuwa, Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi - Civic United Front (CUF)...
Kama ilivyotarajiwa, "ushindi wetu" wa Tuzo ya Milenia (MDG) umeshageuka mtaji kwa Serikali ya Chaguo la Mungu Jakaya Kikwete.Nimeonelea kuandika makala ya habari-picha kutoa pongezi kwake...
Dk Slaa, NEC wamshukia Tendwa
Boniface Meena, Rombo na Salim Said Dar - Mwananchi
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imemshukia Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, ikibainisha kuwa...
Governments both national, regional and local are some of the biggest funders of sport. Recent years have seen a number of national and city governments support the staging of sports events, and...
Hayo ni matokeo ya ripoti moja iliyotolewa jana.. HABARI NDIYO HIYO!
CHANZO: Habari Leo
UTAFITI wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Uwezo, umebaini kuwa kati ya wanafunzi 10 wanaomaliza darasa...
wadau napenda kufahamishwa ni
kampuni gani ita/ zita husiika ku supply, kuchapisha makaratasi ya kupigia kura.?
Kampuni gani zimeshind ku supply maboksi na vifaa vingine vya uchaguzi.
kampuni...
Tetesi na uchambuzi wa masuala ya kisiasa Tanzania:
Kwa jinsi Salma na wana familia wengine wa Kikwete walivyoingia kwa nguvu kwenye siasa inasemekana kuna mchogo wa kumfanya huyu mama mashuhuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.