Wakuu,
Leo chama cha Chadema walikuwa na mkutano wao wa kampeini katika kata ya BILELE katika eneo la nje ya Soko kuu ambapo watu walijaa sana na kulazimika kuifunga barabara ya Jamhuri kwa masaa...
Ndugu zangu!
Naomba tuchambue sera hizi za vyama objectively kutoka kwenye ilani zenyewe za vyama.
CCM: Ilani ya uchaguzi 2010-2015
9:Majukumu ya Msingi
(a) Kuimarisha na kuboresha elimu.
(b)...
Huyu mama ana matatizo sana, hivi toka lini vyama vya upinzani vikawa adui wa chama tawala? Maneno haya ni ya kuvuruga amani na kuleta uchochezi baina ya wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa...
Amri kuu za uchaguzi Tanzania 2010
Dr. Slaa ndiye chaguo lako usichague Rais mwingine.
Usimpe bure Kikwete kura yako.
Shika Jina la Dr Slaa hata baada 31.10.2010.
Wachague rais,wabunge,ma diwani...
Nimetooa methali hii kutoka lugha ya Kihaya. Wao husema: Olutega Mu-Kasho lwija na Nyoko
Na nimeikumbuka methali hii baada ya kutathmini nini kimetokea mpaka Babu, Shangazi, Wajomba na...
anajatambulisha kwa title ya dr,hivi ni dr wa nini?mbona anachozungumza ni tofauti na utambulisho wake?twaomba data zake kwa wale wanamfahamu maana ile siku anaongea na wana habari alisahau hat...
Wandugu:
Hebu fikiria iwapo Chadema wangekuwa na robo tu ya pesa ambazo wanazo CCM! CCM ingezidi kutishika na ingecheza faulo nyingi zaidi kuliko hivi sasa!
M. M. Mwanakijiji (Tanzania Daima Jumatano)
SIPENDI kweli watu wenye kuamini kuwa hawawezi. Na sipendi zaidi viongozi ambao wanatumia lugha ya kutokuweza. Leo hii tumeanza kutukuza...
Wakati CCM imetoa mabango (billboards) zikimuonyesha Rais aliyemaliza muda wake, Jakaya Kikwete, akikumbatia watoto na kina mama huku kukiwa na maneno kama "Watoto Wote ni Wetu," ripoti mpya ya...
Monday, 13 September 2010
NA PETER KATULANDA, MWANZA
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA Dk. Willibrod Slaa, ameonyesha kuikubali CCM, baada ya kusifia baadhi ya mipango, ikiwemo ya ujenzi wa...
Mama Salma amesema anampigia debe mumewe kwa sababu ndiye msaidizi wake wa karibu kwenye masuala ya maendeleo ya jamii nchini kwa sababu anamiliki WAMA Foundation(Majira 23/09/2010). Hivi...
0
Kampeni za Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Leo
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameanzia kampeni zake leo mkoani Manyara, wilaya ya Ngorongoro...
Anakumbuka marafiki na kusahau ahadi
NAWEZA kudai kumfahamu Kikwete kuliko wengi wa mashabiki wake wanaohudhuria mikutano yake ya kampeni. Nimefanya naye kazi jeshini na serikalini kidogo...
Juzi tulitagaza kupitia jukwaa hili juu ya bw focus rwegasira wa jimbola nkenge kujitoa katika kugombea ubunge
hivi sasa anahutubia wananchi bukoba mjini eneo la soku kuu anadai kuwa yeye bado...
Kuna mwana JF katoa taarifa kuwa kamDr.slaa akishinwa basi mikoa ya shinyanga Mwanza na Tabora itakuwa imechangia, lakini napenda nimtahadhalishe kuwa mikoa aliyotaja tayari ilishawahi kukaa chini...
They say that many of Tanzania's leading intellectuals are the nation's bane rather than its boon. A nation's intellectuals are supposed to be the people's eyes; they see ahead, point out...
Wanajukwaa,
Kwa kuwa CCM sasa ipo ktk mkakati wa ndani zaidi kuangalia how to win KWA lazima, nimepata MADHANIA kwamba, kwa kuwa watanzania wanahisi CCM inaweza kuiba kura, wanaweza kuja na...
Hawaandiki habari zake lakini joto la homa yake lawatesa na wameamua kuendesha kura yao ya maoni. Ajabu wamemweka bila mpinzani, wanaogopa nini ?
Bonyeza hapa;
DailyNews Election Portal | Its all...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.