Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zimehitimishwa rasmi hapo jana, Jumanne Novemba 26.2024 huku leo, Jumatano Novemba 27.2024 zoezi linalosubiriwa na wengi ni la upigaji wa kura, ambapo...
MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla amewataka Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutowachukia wagombea wa vyama vingine waliojitokeza kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa...
HISTORIA
Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Idadi ya watu kwa ongezeko la 2.7% kwa mwaka na inakadiriwa kufikia jumla ya watu wapatao...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amesema kampeni za chama hicho zilizofanyika kwa siku sita katika majimbo nane ya mkoa...
Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ni mmoja kati ya Wabunge ambao wamejitokeza kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024 katika Mikoa yote Nchini.
Sanga...
Kuna kauli za kipuuzi zimetolewa na baadhi ya watu eti mtu akipiga kura aondoke, asishuhudie hatua nyingine, eti aende nyumbani asubirie kuambiwa nani ameshinda uchaguzi! Wengine wakathubutu hata...
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kimesema kimejipanga kwa njia zote kuhakikisha kinalinda amani kabla ya Uchaguzi na baada ya Uchaguzi ikiwemo kuwadhibiti wale wote wenye nia mbaya (ovu) ya...
Wakuu,
Hiyo siyo kawaida kwamba CCM wanajiamini sana na kuamini mawakala wao kuwa mambo yataenda vizuri. Kuja jambo linapangwa;
1. Mapolisi kuwa standby wapinzani wakifanya nywi kitatembezwa...
Kada wa chama cha mapinduzi CCM Bwana Abdallah kambaya Amesema chama hicho kinajenga hoja kwa misingi ya Sera Katika kuwahudumia wananchi wake
Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na wananchi wa...
Wakuu,
Mkuu wa UVCCM Taifa Jokate Mwegelo amesema Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kwamba Tanzania ina demokrasia kwasababu hadi sasa hakuna machafuko yaliyotokea kuelekea Uchaguzi wa...
Mwenyekiti wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kanda ya kaskazini Godbless Lema pamoja na wanachama wa chama hicho wamefika katika ofisi za Halmashauri ya Jiji la Arusha baada ya mawakala...
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, amewataka watendaji wa Manispaa ya Kigoma Ujiji kuacha kukikumbatia chama cha CCM kwani ni chama ambacho kimeshindwa kuwalinda watendaji wa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu, akielezea hali waliyokutana nayo wakati wa kuapisha mawakala wa chama hicho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Tarafa ya Ikungi, wilayani Ikungi...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kupitia ukurasa wake wa X, ameeleza kuwa viongozi wa CHADEMA katika Jimbo la Arusha Mjini wamenyimwa viapo vya mawakala. Hali hii imeibua...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye katika eneo la Kiwalala katika Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, amefunga mkutano wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za...
📍Bukoba_Kagera
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comred Faris Buruhani, amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Kagera kwamba vijana wa Chama Cha Mapinduzi watakuwa mstari wa mbele katika kulinda na...
Wana Jukwaa!
Tukiwa tunasubiri muda wa asubuhi kwenda kupiga kura katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa ambao unafanyika leo Novemba 27, 2024.
Kuna hii video imenishangaza na kujikuta nacheka...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Amina Ali Mzee wameendelea na Kampeni Mkoa wa Arusha huku wakiwaombea Kura kwa...
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani akikabidhi Mabati bando 10 kwa ajili ya Ujenzi wa banda la kituo cha Madereva wa Pikipiki (Bodaboda) Kata ya Nyamialangano.
PIA SOMA
- Kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.