Mbunge wa Jimbo la Ushetu Cherehani Emmanuel ameendelea na ziara ya kuwafikia Wananchi katika maeneo yao kutoa hamasa kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji Jimboni kwake...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM mkoani Dar es Salaam kwa kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza...
Wakuu,
Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Jumatano, Novemba 27, 2024 nchini Tanzania, jijini Arusha kumekuwa na malalamiko kutoka kwa vyama...
MBUNGE GHATI CHOMETE: CCM IMEJIPANGA VIZURI, LAZIMA ITASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 26 Novemba 2024...
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Aliyekuwa kada wa CHADEMA Mch. Peter Msigwa amewaomba radhi wanachama wa CCM kwa maneno aliyokuwa akiyasema wakati akiwa upinzani.
Msigwa amesema, "CCM...
Katibu wa siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Katavi Ndg.Teonas Revocatus Kinyonto Amewaomba wananchi kuchagua viongozi walioletwa na Chama cha Mapinduzi kwani wameandaliwa kuwa viongozi watakaotanguliza...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo na Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Alexander Mnyeti, amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kesho kupiga...
Salaam ndugu zangu
Wanasema mtembea bure sio sawa na mkaa bure, katika harakati zangu za mtu mweusi ndani ya hizi siku mbili nimejikuta nakumbana na Wagombea kadhaa wa Chama cha Mapinduzi na...
Wakuu,
Mwigulu amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Singida kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba 27, 2024.
Kupata taarifa na matukio ya...
Wakuu,
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya wilaya ya Arusha Ndg. John Kayombo amesema mvutano uliopo miongoni mwao na Wanachama na Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa...
Kesho, tarehe 27 Novemba 2024, ni siku muhimu kwa Watanzania kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hii ni fursa ya kipekee kwa wananchi waliojiandikisha kutumia haki yao ya kidemokrasia...
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wametakiwa kutojihusisha vitendo vya Uvunjifu wa amani katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na badala yake Wajitokeze kupiga kura kwa kuwachangua viongozi wa...
Aliyekuwa mgombea wa Mtaa wa Viwandani kata ya Unga LTD Jijini Arusha kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Jumatano...
Wakuu,
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunga kampeni za wagombea wa serikali za vijiji kwenye Kijiji cha Kanyala, Kata ya Bulyaheke na kuwaomba wananchi kuchagua viongozi wanaotokana na CCM...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amehitimisha kampeni za chama hicho mkoani Mbeya kwa kuhimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Wakuu,
Ndio maana Nyerere alikataa makabila makubwa kushika nafasi ya Urais, kuanza kutuimbia vilugha na kubaguana tu!
=====
Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Geita...
Wakuu,
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Momba, mkoani Songwe, kimehitimisha kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kufanya mikutano katika kata za Bonde la...
Chaguzi zote za serikali za Mitaa zilizopita tulikuwa na Hawa wazee Wetu ambao walihamikisha Kwa namna yoyote ile Armani inadumishwa
Mungu wa Mbinguni awarehemu wazee Hawa
Tukeshe Kwa Armani...
Wakuu,
Huu ni ukorofi kabisa, CCM kama inapumulia mashine vile afu wanajaribu kutanua mapafu :BearLaugh:
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa...
Naibu katibu Mkuu huyo wa CCM, Taifa, John Mongella amefika Mkoani Shinyanga kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27, mwaka huu.
Sambamba na hilo Mongella...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.