Wakuu,
Siku ya leo wakati wa kufunga kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM amegusia kuhusiana tabia ya baadhi ya wagombea kutumia matusi kuwasilisha hoja...
Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Mhe. Sebastian Simon Kapufi wakati akiwaombea kura katika Kampeni wagombea wanaotokana na CCM amewashukuru Wananchi wa Mpanda Mjini kwa kuwaamini wagombea wa CCM...
Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Balozi , Dk. Pindi Chana amekinadi Chama cha Mapinduzi huku akiwaomba wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika...
*Asema CCM ni Chama Imara
WAZIRI MKUU na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Kassim Majaliwa amewataka Wana-Liwale kuwachagua wagombea wote wa Chama cha...
Waguu
Mgombea wa Uenyekiti kupitia Chama cha ACT Wazalendo huko Kigoma amejitangaza kuwa ni mshindi kabla ya Uchaguzi wakati wa kuhitimisha Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda...
Wananchi wa jimbo la Lupembe wameeleza utayari wao kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika leo Novemba 27, 2024 Nchi nzima huku wakiweka wazi Matarajio yao kwa viongozi wapya...
Wakuu,
https://www.youtube.com/live/qJT6TyKWZeo?si=5cw59AnMyAIstTsK
CCM imeweza kuweka wagombea takriban 49,000 katika nafasi mbalimbali za uongozi, hii inamaanisha wanakwenda huku wapinzani...
Aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mary Mwanjelwa amemwaga sifa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan juu ya...
Ikiwa kesho novemba 27 ni siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika jumla ya Wagombea elfu nne mia nne na nne wa vyama vyote vya siasa Mkoa wa Dodoma wamejitokeza kugombea nafasi...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amewahimiza wakazi wote wenye sifa Mkoa wa Arusha kujitokeza kwa wingi kupiga kura hapo Kesho Jumatano Novemba 27, 2024 ili kuwachagua Viongozi wa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema wamejipanga kudumisha amani na utulivu kesho katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, huku likitahadharisha wanaotaka kuuvuruga.
Misime...
Mkuu,
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Thobiasi Makoba akitoa ujumbe kwa wanahabari na Watanzania kuhakikisha wanajitokeza kupiga kura kesho, Jumatano Novemba 27.2024 ili kuchagua viongozi...
WAKATI vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji vikihitimisha kampeni zake leo, kupisha uchaguzi wa viongozi hao Novemba 27, wananchi wa kwa Sadala, Wilaya...
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Mtambani kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Mohammed Mtutuma, ametoa ahadi ya kupambana na unyanyasaji na kuhakikisha heshima ya wananchi inalindwa, ikiwa ni...
Wakuu,
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally awakumbusha wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27, 2024 ili kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa wanaowataka.
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanya kampeni ya kupita nyumba kwa nyumba katika Kata ya Irenza, Buchosa kuomba kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba...
Wakuu,
Wenyeviti na wagombea wa nafasi za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini wametakiwa kuacha tabia zisizofaa ikiwemo ulevi, tamaa za wake za watu na matumizi mabaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.