Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imelaani vikali baadhi ya kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya Viongozi akiwemo Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mh. Costantine...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Ecoprogetti supplies Texas solar panel maker with 800 MW production line The Italian manufacturing equipment provider supplied U.S. solar manufacturer CS Solar MFG LLC with an 800 MW production...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
  • Redirect
Why the U.S. Keeps Losing to China in the Battle Over Critical Minerals The West got its hands on one of the world’s best graphite mines—then things started going off the rails Syrah Resources’...
0 Reactions
Replies
Views
Sote tunataka nchi yetu isonge mbele lakini tunachoka na kuumia mnoo tunapoona suala la umeme hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka 30 mfululizo likitumika kama kichaka cha upigaji wa watu fulani...
4 Reactions
14 Replies
329 Views
Kuna hizi nyumba wanazofikia marais wakiwa mikoani katika ziara Mimi Naziita ikulu ndogo sijui kama nakosea ila zinajulikana zaidi kama rest house. Nyingi ya nilizoziona mimi mikoani naziona ni...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kesho ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Arusha, leo Ijumaa Machi 7, 2025 nyama choma italiwa bure. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Maonesho ya aina yake ya mbio za magari yanatarajiwa kurindima wakati Rais Samia akiwasili jijini Arusha na hiyo itakuwa ni sehemu ya staili ya kipekee ambayo inapangwa kama sehemu ya mapokezi...
4 Reactions
35 Replies
887 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hatutashiriki uchaguzi" Pia, Soma John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba...
2 Reactions
7 Replies
407 Views
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza...
32 Reactions
84 Replies
4K Views
Baada ya kutokea sakata la fedha za bodaboda katika jimbo la Arusha Mjini kuoneka zimeliwa na mmoja wa walitajwa ni Mbunge wa jimbo hilo Mrisho Gambo. Soma Pia: Arusha: RC Makonda aiagiza...
2 Reactions
4 Replies
477 Views
Mama, Labda pengine wengine wanakuogopa. Au tuseme wanashindwa kukufikishia ujumbe. Lakini mimi, kwa unyenyekevu kabisa, nimeona kupitia safu hii niwe nakupenyezea yale ambayo yanasemwa huku...
2 Reactions
1 Replies
199 Views
Wakuu Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kwenye michezo yupo! Mama Ntilie na gesi, machinga yupo! Sekta...
9 Reactions
36 Replies
1K Views
Justin Trudeau Carries His Chair With His Tongue Out As He Exits Canada House of Commons (See Pic) latestly.comMar 11, 2025 5:13 AM Canada's outgoing Prime Minister Justin Trudeau was seen...
0 Reactions
3 Replies
221 Views
  • Redirect
Je Ndio mkakati wa Chadema kuhakikisha CCM inabaki madalakani!? Nchi itahitaji Rais atapigwa miaka 5 mingine bila uchaguzii🐔🐔🐔
1 Reactions
Replies
Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Watanzania wanahitaji mfumo wa uchaguzi utakaoamua viongozi wao halali ambao watawajibika kwao huku...
1 Reactions
14 Replies
547 Views
Wakuu, Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh...
10 Reactions
75 Replies
3K Views
Nimesikia hotuba ya Lissu katika sherehe za siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA. Hotuba hiyo ilidhihirisha kwamba hakuna mpango kazi wowote wa "no reform no election". Tundu Lissu...
2 Reactions
24 Replies
470 Views
Kuna shirika moja la kiutafiti liliwahi kufunga mjadala kwa kusema 3/4 au tuseme 75% ya Watanzania ni wendawazimu. Yawezekana ni zaidi ya 75% ila waliogopa tu kusema ukweli. Mwaka wa uchaguzi mkuu...
13 Reactions
32 Replies
579 Views
Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tulikamata watu kadhaa wenye kura feki ikiwemo Polisi. Hakuna aliyechuliwa hatua. Hakuna hata faili la uchunguzi lililofunguliwa. Kwa ukimya wake juu ya jambo...
2 Reactions
3 Replies
181 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…