Habari wanabodi
Nimefuatilia kwa kitambo sana mwenendo wa mfumo wa sheria na utawala nchini kwetu, nimekuja kupata swali linalonipa ukakasi sana sana
KWa tukio la juzi kukamatwa usiku wa manane...
Wakuu,
Baba Levo ndo ameshamwaga manyanga hivyo.
Akiwa anazungumza jana kwenye kipindi chake cha Jana Na Leo, Baba Levo amesema kuwa iwapo kwenye mkutano huu unaoendelea Dodoma ataepwa kadi ya...
Ni kubadilisha tuu Majina ya Viongozi hapo Juu ila maudhui yanasalia kuwa Yale Yale.
Huu wimbo Kwa mara ya kwanza Marehemu Komba aliutunga kumsapoti Jakaya Kikwete na umesalia kuwa Wimbo maarufu...
Ikitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli.
Hao watu wanafanana Kwa Kila kitu tofauti Yao ni...
Ukweli uliowekwa wazi na mgombea umakamu uenyekiti wa Chadema Taifa Ezekia Wenje, umebadili uelekeo na kuweka sawa uoptoshaji na unafiki wa kiwango cha juu sana, ambao umekua ukisemwa na...
Wakuu,
Mkoa wa Lindi unatarajia wapiga kura wapya 121,187 kwa ajili ya uchaguzi ujao, huku vituo vya kujiandikisha vikiwa 1,308, ongezeko la vituo 70 ikilinganishwa na uchaguzi uliopita.
Makamu...
Nakubalina kabisa na bwana Manara ex Msemaji wa Makolo kwamba Kwa kazi nzuri na ya kukukuka aliyofanya Rais Samia Kwa miaka hii 4,ni wazi kabisa Mitano Haitoshi labda 10 mingine.
Huhitaji...
Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi?
Siri zote za chama angalizipost katika social media...
Wajumbe wa CHADEMA tafadhilini tunataka mchague Mtanzania sio diaspora wiki yuko Tanzania miezi 6 yuko Ubelgiji kura apewe Mbowe
Mbowe muda wote yuko Tanzania madhila yote yake
Itendeeni haki...
Watu wenye Fikra za kuleta Mapinduzi Chadema Wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri
Chadema Ili ipone ni lazima iwaondoe makaburu wachache waliobamia na hasa Mbowe, Sugu na Halima Mdee
Wenje ni...
Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Ezekia Wenje amepiga mahesabu yanayoonyesha kuwa Freeman Mbowe ataibuka na ushindi mkubwa dhi ya Tundu Lissu katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa...
Nimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.
Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna...
Wakuu , nilibidi kuwa hapo Dodoma katika mambo ya chama Ila unfortunately sitofika.
Ila nahitaji kuwasiliana na mwenyekiti wa UWT Taifa mwenye mawasiliano yake anipatie PM.
#Tanzania Mbele ...
Kauli "Mitano tena kwa Samia" nadhani si ngeni masikioni mwa watanzania walio wengi. Ina maanisha kuwa baada ya kumaliza kipindi cha urais uliopatikana kwa mkono wa Mungu, rais Samia apewe miaka...
David Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa PPP, amewatoa hofu Watanzania kuhusu ujenzi wa barabara za kulipia. Anasisitiza kuwa barabara hizi zitaambatana na barabara mbadala zisizo za kulipia, kutoa...
Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa kutoka wilaya ya Hai, Kilimanjaro, tunakuomba kwa dhati unapotembelea Dodoma kwa ajili ya mkutano huo, tafadhali usitoe kitamu chako kwa wanaume. Kila mwaka...
Kwenye Siasa ya dunia ya Leo mbinu zakivita za kukufikisha ikulu ni muhimu. Tumeshuhudia ulimwenguni kumekua na ushindi Kwa vyama vya Conservative vikiingia madarakani wakatiiqmbapo vyama tawqla...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio...