Ndugu zangu Watanzania,
Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha...
Hiki ndicho alichoandika Director wa PPP Tanzania Bw. David Kafulila huko kwenye akaunti yake ya X zamani tweeter.
Mkurugenzi huyo ameandika haya ili kuwatoa hofu wanaodhani huenda nchi yetu...
Anaandika Tundu AM LISSU.
====
" Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA kama wewe unataka au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri...
Habari wadau
Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi.
Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu...
Tundu Lissu kageuzia bunduki yake kwa Freeman Mbowe, wakati bunduki yake ikimpiga Hayati Rais Magufuli, walifurahia, wakati bunduki ya Lissu ikimpiga Paul Makonda, Mbowe alifurahia, Leo anasema...
Baada ya uchaguzi wa kesho kutwa.
Na sababu kubwa itakayomuondoa Wenje ni kua tayari ameshawekwa wazi kubwa ni Project ya watu.
Kama umesikiliza Hotuba ya Wenje na kudadavua mistari yake , Wenje...
Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya...
Wakati wowote ndani ya wiki chache zijazo huenda mchungaji Peter Msigwa akaamua kuondoka CCM na kurejea Chadema, ambapo rafiki yake mkubwa Lissu akitegemewa kuchukua kiti cha uenyekiti wa Chadema...
Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni
Ijumaa, Aprili 14, 2023
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza...
Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.
Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na...
Tujikumbushe majembe ya awamu ya 5. Kuna waliowapenda na kuna waliowachukia ila wafuatao walikuwa ndo majembe ya awamu ya 5;
1. JPM himself
2. Paul Makonda
3. Biswalo
4. Job Ndugai
5. Ole Sabaya...
Jomo Kenyata alishawai kusema:
"Waganda ni sawa na wagonjwa wanaweza kupona mda wowote na wakadai vyao,
Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao,
Ila...
Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.
Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?
Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu...
mnamo 16-1-2025 chombo kimoja kikubwa cha habari kimefanya mahojiano na Tundu Lissu nyumbani kwake Tegeta -Dar es salaa, Tanganyika.
Waandishi / Watangazaji watatu wamemuhoji :-
Sam Sasali
PJ...
Hakika nasadiki kusema hivyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza!
CCM wanasiasa bora sana na zenye demokrasia nzuri na sio kuchafuana kama walivyo wale wengine kila kukicha wao ni kupakazana...
Taifa zima tuwe mapumziko kufuatilia uchaguzi wa chama mwalimu wa demokrasia nchinj.
Naamini hata mama Samia atakuwa anafuatilia live na huenda atapiga simu kupongeza kupata darasa la namna ya...
Wakati Trump anaibuka kugombea urais mwaka 2016 alipingwa karibia na establishment yote ya chama cha Republicans, alikuwa anaonekana mropokaji na kituko tu mbele ya "wenye chama", hakuna...
1. Uchawa kama profession CHADEMA, ni marufuku!
2. Aanzishe vita dhidi ya ruzuku za vyama:
Vyama vyote viendeshwe na wanachama, si huu upigaji wa pesa za wananchi kwa jina lingine lolote...