Nimeamini kuishi kwingi ni kuona mengi, hivi hii ndiyo Tanzania ya nyerere tuliyokuwa tunawalaani watawala madikteta popote pale duniani.
Tulikuwa na jirani yetu akiitwa Iddi Amini dada...
Inawezekana na Iliwezekana huko kwa nchi za wakubwa wetu..kutumia Afya,magonjwa na milipuko ya magonjwa kama chanzo cha upigaji fedha.
chondechonde tusiingie kwenye mtego huu.
Makampuni ya...
Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.
Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya...
Sifahamu shida ni nini
Vimikatiko vya umeme visivyoeleweka vimekuwa vingi kiasi cha kujiuliza maswali iwapo tayari Tanesco wameshaanza kutoa dozi ya mgao wa umeme
Wakati matamko ya viongozi...
Jana tarehe 14/ 09/ 23 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ametoa maamuzi yenye utata kwenye shauri la usuluhishi lililokuwa mbele yake. Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliishtaki...
Akiwa Mgeni wa Heshima katika sherehe za Bawacha jana, Lissu hakuweza kujizuia kumtaja Aida. Alirudia tena madai yake kuwa Aida alipewa ubunge na CCM. Huo ni upotoshaji mkubwa kwa sababu una...
Watu wameng'ang'ania kujadili uhalali wa kuagiza umeme nje ya nchi. Kuna shida ingine kubwa haimulikwi.
Tatizo haswa la Tanzania ni kwamba, baada ya ule mradi wa bwawa la umeme kupitishwa na...
Itakumbukwa kwamba kazi aliyoifanya Mpoki ya kuokoa Uhai wa Tundu Lissu pale Dodoma ilimgharimu vyeo vyote alivyokuwa navyo.
Hatimaye leo amekutana na Maiti iliyofufuka ya Tundu Lissu baada ya...
Wasomi wengi Tanzania wameacha taaluma zao kujifucha ccm kutafuta fusa na uchawa.
Madokta, na maprofesa walioko ccm wengi ni machawa, elimu zao na usomi wao wote wameutupa na kuchagua uchawa...
Viongozi wa chama Cha Mapinduzi CCM pamoja na Jumuiya zake Kutoka maeneo tofauti ikiwemo tawi la Katoma, wamejitokeza na kukemea vijana waliopotosha kauli ya Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini...
Fuatilia kwa umakini minyukano ya siasa za uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa utakaofanyika tarehe 21/01/2025 inayoendelea ndani ya chama hiki kisha husianisha na matukio haya👇..
TUKIO #1...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema moja kati ya jambo linalothibitisha kwamba elimu ya shule za serikali si nzuri na haiaminiki ni hali ya viongozi wa juu serikalini ma kwenye...
Wanabodi,
Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo.
Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo...
https://youtu.be/N56WUqh2ODg?si=A_rAwRxypLvDeseF
Mungu awe nanyi nyote..!!
Ni dhahiri shahiri kwamba yajayo nchi hii, yanafurahisha...
• Ni mwendelezo wa ujumbe wa Mungu juu ya utawala wa nchii...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma Abdulhabib Mwanyemba amewaasa Watanzania kikupigia kura Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao kwa...
Profesa Ndumilakuwili Kabundi,
Profesa Kusitasita Ndalikachako,
Profesa Kitita Mwamkumbo
Profesa Ukame Mbawala
Hawa wana tofauti gani na profesa Vulata au Maji Marefu?
Dokta asiyetulia Action...
NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Dotto Biteko, amesema Tanzania ina umeme wa ziada wa Megawati 740 na kwamba katika serikali ya awamu hii ya sita inakwenda kukamilisha mipango yake ya miaka mingi ya kuuza...
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.