Huyu Mbowe ni mwamba kweli kweli
Freeman Mbowe, kiongozi wa muda mrefu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amekuwa mstari wa mbele katika harakati za kupigania demokrasia, haki za...
Aliyekuwa Naibu katibu mkuu wa Chadema Mh Zitto Kabwe amesema MTU pekee mwenye credibility ya kuizungumzia kufukuzwa kwake Chadema ni Mh John Heche Kwa sababu ndiye mjumbe wa CC aliyesimama kidete...
Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!
Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
Katika maisha yangu ya kufahamiana mpaka tukawa marafiki sikuwahi kujua kuwa Wenje ni Muongo.
Wakati wa join the chain Lema wenje na Lissu walikuwa Nje ya nchi, Mbowe alikuwa gerezani. Tulibaki...
ACCA & CPA Abohokile Mwaitenda ambaye ameondolewa kwenye Cheo cha Mshauri mkuu wa Chadema wa Fedha, Uchumi na Uwekezaji na Katibu mkuu Mh John Mnyika Wiki ijayo ataongea na Waandishi wa Habari...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, ndiye...
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu.
Mzee Mwaniri amekua mkuu wa Mkoa Tabora ila pia ameshika nyadhifa Mbali Mbali ndani ya nchi yetu,
Uyu mzee anamapigo ya G z , siasa za nchi hii zinazidi...
Diplomatic passport Haiwezi kukusaidia ukiwa kwenye nchi yako. Ila huyo mwenye nayo akitoka nje na kuishi kama mabalozi na wanaoenda kufanya shughuli za Kitaifa anaenjoy vast of benefits.
Mfano...
Muda mchache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wajumbe wa mkutano huo wamepaza sauti ya kuhitaji posho zao kabla ya mchakato...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anasema siku ambayo Freeman Mbowe anaachiwa huru Mchungaji Peter Msigwa alienda na wanachama wa CHADEMA kumsubiria katika Mahakama ya Kisutu lakini cha...
Huu ndio Waraka/Mkakati uliopelekea Kitila na Zitto kupoteza uanachama wao ndani ya CHADEMA
MKAKATI WA MABADILIKO 2013
UTANGULIZI:
Taasisi tunayoizungumzia ilisajiliwa rasmi mwezi January 1993...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika nimeumia sana, nimehuzunika sana,nimesikitika sana,nimelia sana na bado moyo wangu unabubujikwa na machozi ya huzuni na uchungu mkubwa sana kwa Kifo cha Mkuu...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano.
Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa...
My friends, ladies and gentleman,
Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi havai tena bullet proof vest aliyoivaa kwa mbwembwe sana baada ya kudai kupigiwa simu na mtu aliemuita mzito na muhimu sana...
Mizengo Pinda
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya Mheshimiwa Abdulahman Kinana kuomba kujiuzulu Umakamu Mwenyekiti wa CCM Taifa na Hatimaye kukubaliwa ombi lake na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na...
Ujumbe ulioandikwa na John Heche kwenye Twitter. mwaka 2020 ukimuhusu Mbowe. Huu hapa ni ujumbe wake:
Kamati kuu yetu ina wajumbe 35. Kila anayehamahama au kufukuzwa anamshambulia Mbowe, maamuzi...
HII NAYO NI MUHIMU MNO
1. Magufuli udikteta wako haisaidii maana Sisi sote ni Nyama ipo siku utaondoka tena yawezekana hujamaliza muhula ujao kwakuwa Hakuna anayejua ya Mungu
2. Rejesha pesa za...
Husasan wa Media za hapa Tanzania !!.
Maana ni aibu aibu aibu aibu aibuu narudia ni AIBUUUUU .
Hivi kuna vyuo binafundisha hii taaluma? Au ni ujanjaujanja tu wa MTU, anafika Clouds , ana sauti...