Kiukweli endapo CHADEMA watabahatika kupata wabunge watatu au zaidi basi watastahili kupongezwa.
Kwa mfano hapa Dar es Salaam nimepita katika viituo vingi vya kupigia kura na kushuhudia CCM ikiwa...
Disturbed by reports of arrests and violence against political candidates and supporters. Protection of civilians is essential for peace and stability. Canada calls on the government of Tanzania...
Mgombea wa CCM jimbo la Kigoma mjini, Kilumbe Ng'enda ametangazwa mshindi baada ya kupata kura 27, 688 huku Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo akipata kura 20, 600. Akitangaza matokeo hayo msimamizi wa...
Siasa na Utawala
Profesa Rwekaza Sympho Mukandala anazungumzia kigezo muhimu na kikubwa cha siasa na uongozi na kubaki madarakani kwa muda muafaka, Ni je wananchi wanafuraha?
Prof. Mukandala...
Kwa kifupi kabisa nina maswali mawili ambayo nataka majibu na si matusi.
Vyema pinzani vinapolalamikia kuwa time so huru, kwanini walikubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua unasimamiwa na Tume...
Niende moja kwa moja kwenye heading hapo juu.Kwanza kabisa haya ni maono yangu BINAFSI yasiyofungamana na chama ila nikutokana na kuguswa kwangu tu na mustakabali wa Taifa langu pendwa lenye watu...
Habari wanajf, moja kwa moja niende kwenye mada husika.
Juzi wengi tulimsikia mgombea wetu akiweka msimamo mara mbilimbili kuhusu kuendelea na kampeni siku ya leo na kwa muktadha huo alikuwa...
Nawasalimu wanajukwaa,
Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa minyukano ya hoja humu jukwaani kwa ustaarabu wa hali ya juu, hii inaonesha jukwaa bado lina watu makini sana.
Nikirudi kwenye mada...
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf...
1: Mikoa ya kanda ya kati ni base ya Lissu kwa maana ni mtu wao wa nyumbani kisaikolojia ni ngumu kwa watu wa nyumbani kwako kukuacha kukuunga mkono, kanda hii inatarajiwa kuwa na wapiga kura...
Zipo taarifa ambazo wewe mwenyewe umezithibitisha kuwa mara baada ya Uchaguzi utarudi Ubelgiji, huko ulipokuwa kwa takribani miaka mitatu na kurudi siku chache kabla ya zoezi la Uchaguzi mkuu...
Kama nilivyosema katika uzi wangu wa asubuhi ya leo,mpaka muda huu viongozi hawa wako kimya kabisa licha ya Magufuli kutangazwa mshindi wa kitu cha urais.
Inawezekana chama kinajiandaa kutoa...
Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni.
Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi...
Generally ni Tanzania kuwa kama Ulaya
Arusha kuwa Calfonia
Kigoma kuwa lango la biashara Maziwa Makuu
Mbeya kuwa Chicago
Dar kuwa Birmingham
Tabora kuwa Toronto
Zanzibar kuwa Dubai
Dodoma kuwa...
1965-Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 2,520,904 sawa na asilimia 96.46
1970- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 3,220,636 sawa na asilimia 96.7
1975- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa...
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.
Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:
1...
Yani kuacha Magufuli na Lissu, unakuja kugundua kuwa mshindi aliyeshika nafasi ya tatu kati ya hao 15 ni kura zilizo haribika. Yani zaidi ya kura laki mbili ziliharibika. Ni kura nyingi kuliko za...
JPM alipoingia madarakani alisema ataua vyama vya upizani hawakumuelewa, wakapiga kelele bila tafakuri Kumbe JPM alimaanisha kwa utendaji wake ifikapo 2020 hakuna atakaekuwa na Sera za kueleza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.