Wadau, amani iwe kwenu.
Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa. Maandamano ya kushawishiwa kwenye mikutano na waandishi...
Jana usiku walikamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bukoba Mjini, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia CHADEMA ambaye pia alikuwa meya wa Manispaa ya Bukoba, aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Kashai...
Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha...
Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya...
Kuna jambo nimeliobserve toka Lissu arejee kutoka Ubelgiji kuhusu mahusiano kati yake na muasisi wa Chama Cha Chadema mzee Edwin Mtei
Baada ya kupitishwa na kuwa mgombea wa CHADEMA niliamini...
Election Day is tomorrow.
I was told by the JF powers that be that we can’t make predictions about it.
So I’m not gonna make a prediction one way or the other.
But let’s face it, most of us...
Vyama tisa vya upinzani vimetoa tamko la kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 28, 2020 na mgombea wa CCM, Dkt. John Magufuli kuibuka mshindi baada ya kupata 84.4% ya...
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa...
Wakuu Salaam:
Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi.
Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa...
Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango...
UPDATES:
05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari...
Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake...
Uchaguzi wa Jana ni zaidi ya vituko.
Tujikumbushe kidogo 1995 kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi baada ya sote baada ya ushauri wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kukubaliana tuwe na mfumo...
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha...
Hatimae chama pendwa cha CHADEMA kimepata mbunge mmoja mpaka sasa aitwae Aidah Kenani wa Nkasi kaskazini baada ya kumuangusha Bwana Ally Keissy, mbunge machachari kwa kutetea hata upuuzi wa chama...
Kuna usemi maarufu wa Kiswahili unasema, ¨siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza ¨ usemi huu una anza kuakisi ukweli wa siasa za vyama vya upinzani Tanzania na anguko lake kuelekea uchaguzi...
Jukwaa la Tume za Uchaguzi la SADC limeipongeza serikali ya Tanzania kwa kuendesha Uchaguzi halali.
Jukwaa hilo linaundwa na tume za uchaguzi za mataifa 14 ya SADC.
Tamko lililotolewa na jukwaa...
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kwa mwaka 2020 umekamilika rasmi Leo kwa mshindi wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dokta John Joseph Pombe Magufuli Kukabidhiwa cheti cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.