Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Amani iwe kwenu wajumbe! Tunaposema upinzani katika nchi hii bado sana ieleweke kwamba bado mbichi kweli kweli hata uwezo wa kuendesha nchi bado. Mbowe kama kiongozi Mkuu wa kambi Rasmi ya...
9 Reactions
39 Replies
4K Views
Umoja wa Ulaya (EU) umesikitishwa na kitendo cha kuiminya mitandao ya kijamii kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28 ambao umelalamikiwa kuwa na viashiria vya udanganyifu. Pia...
6 Reactions
92 Replies
9K Views
Rais anayeongoza muhula wa 2020 – 2025 anakuwa ni Rais wa kwanza kuapishwa katika Makao Makuu ya nchi, ambayo ni Dodoma. Miaka ya awali marais waliokuwa wakichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu...
13 Reactions
131 Replies
8K Views
Kufuatia kauli aliyotoa bwana Polepole kuwa CHADEMA walichapisha kura fake ili kuchafua uchaguzi, ni vyema CCM ikawashtaki hawa CHADEMA kwa kutenda kosa hilo la jinai. Kama ambavyo CCM imekuwa...
11 Reactions
42 Replies
5K Views
Mtafiti Mkuu Tanzania kupitia taasisi ya Redet Prof Mukandara amesema uangalizi wa taasisi yake umegundua uchaguzi ulikuwa huru na wa haki. Prof Mukandara amesema 44% ya waangalizi wake wamesema...
7 Reactions
78 Replies
7K Views
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa. Democracy sio kuwa chama fulani kisikae...
11 Reactions
104 Replies
7K Views
Ni kweli kuwa CCM ni chama kikongwe Afrika. Kitendo cha vijana wadogo akina Malema na wenzake akina Mbuyiseni Ndlozi kwa kushirikiana na wenzao akina Mnyika na Zitto kutaka kupambana na vyama...
33 Reactions
143 Replies
14K Views
Nichukue Fursa Hii kukupongeza Dokta John Joseph Pombe Magufuli kwa ushindi wa Kishindo wa 84% ya kura zote. Nikupe pole kwa uchovu wa hekaheka za kampeni kwa Siku 60 wakati pia ukitekeleza...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa huo, Godfrey Zambi, ameyaeleza hayo mjini Lindi, alipokuwa akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na uharibifu uliofanywa wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba 28, mwaka huu. Watu...
24 Reactions
102 Replies
14K Views
To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30...
54 Reactions
281 Replies
21K Views
Uchaguzi umekwisha na matokeo yaneshatoka (yawe halali au sio hilo sio dhumuni la post hii). Lakini kuna maeneo bado kuna manung'uniko makubwa, na hapa ntazungunzia kwa sehemu nilisikia na kuona...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri. Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo. Tuachieni hii miaka mitano ili...
87 Reactions
150 Replies
12K Views
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman...
63 Reactions
218 Replies
16K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salumu amewasihi watanzania kuendelea kumshukuru Mungu kwa wema aliowatendea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kufanyika kwa salama...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo...
28 Reactions
108 Replies
8K Views
Msanii wa muda mrefu kwenye kiwanda cha muziki Bongo, Selemani Msindi, maarufu kama Afande Sele, amesema kwenye mchakato wa uchaguzi mwaka huu amejifunza kuwa wajumbe hawaangalii sura, pesa au...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama watumishi wa umma waliokuwa na vyeti feki walifutwa kazini hali kadhalika viongozi walioingia madarakani kwa kura feki waondolewe wote. Uchaguzi Mkuu urudiwe. Ulijaa wizi wa kura ngazi zote...
14 Reactions
40 Replies
3K Views
WATUHUMIWA 14 WAKAMATWA KUSHAWISHI MAANDAMANO YASIYO HALALI. Dar es Salaam- 03Novemba, 2020 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na oparesheni kali ya kukamata watu...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Maajabu ya uchaguzi yanaendelea, Lipumba akiwa anaongea na vyombo vya habari ameshangazwa na kitendo cha mgombea ubunge jimbo la Temeke kupitia chama anachokiongoza cha CUF, Zainab Mndolwa...
22 Reactions
72 Replies
8K Views
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wamewashika watu watatu zaidi kwa tuhuma za kuwashawishi watu kuandamana. Walikamatwa ni pamoja na Baunsa wa aliyekuwa...
10 Reactions
231 Replies
19K Views
Back
Top Bottom