Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mapema Baada ya kuapa ndani ya Bunge la 12 Mjini Dodoma, Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akihojiwa na chombo cha Habari cha Dar Mpya amenukuliwa akisema. Jimbo la Hai lilikosa uwakilishi sahihi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
1. Umemuonyesha Magufuli na Ndugai ukuu wa Mungu. Umepona, umerudi na watanzania wote wameshuhudia kuwa Mungu ni mkuu sana. 2. Wale waliokupiga risasi, wakazuia usitibiwe, wakakunyima mshahara na...
57 Reactions
45 Replies
5K Views
Mgombea urais wa JMT, Dkt. Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika. Chanzo: Wasafi tv Maendeleo hayana...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
Engel Statement on Elections in Tanzania Bronx, NY—Representative Eliot L. Engel, Chairman of the House Committee on Foreign Affairs, today made the following statement: “It has been tragic to...
10 Reactions
56 Replies
6K Views
OHCHR | UN rights chief disturbed by harassment of opposition following Tanzania elections GENEVA (10 November 2020) – UN High Commissioner for Human Rights Michelle Bachelet on Tuesday said she...
22 Reactions
116 Replies
11K Views
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020. Amesema hayo kumjibu mgombea...
56 Reactions
246 Replies
23K Views
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu. Wimbo huu unatuma...
26 Reactions
41 Replies
6K Views
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa Twitter: Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA...
54 Reactions
162 Replies
16K Views
MBEYA NA IRINGA BADO NGOMA NGUMU Na, Robert Heriel Kama kuna majimbo ambayo CCM itahangaika sana ni pamoja na Iringa Mjini, Mbarali, Mbeya Mjini, na Tunduma Mjini. Kanda ya juu Kusini sasa...
17 Reactions
80 Replies
8K Views
Niwapongeze wagosi kwa kuamua kutetea haki zao. Katika mikitano mingi ya wagombea wananchi wamekuwa na mwitikio chanya huku kilio kikubwa kikiwa kutelekezwa. Majimbo ya Tanga hayana maendeleo...
28 Reactions
151 Replies
9K Views
Kwanza natoa pale kwa upinzani hasa CHADEMA kuwa uchaguzi huu sio kama 2015 ambapo kila mtanzania alikuwa amechoshwa na CCM. Na kila raia alikua tayari kwa lolote ikisubiriwa kauli tu kwamba sasa...
10 Reactions
78 Replies
5K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya...
11 Reactions
73 Replies
12K Views
Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kupitia CCM, Eric Shigongo James, amejumuika na wazee wa Kijiji cha Nyehunge baada ya kuwakuta wakinywa pombe ya kienyeji aina...
5 Reactions
40 Replies
6K Views
Awali ya yote nawasalimu sana Ndugu zangu wa JF baada ya kupotea kidogo kwa muda. Pili nampongeza Mh. Freeman Mbowe kwa kuamua kujiengua kwenye kinyang'anyiro cha Urais na kumpisha Tundu Lissu...
10 Reactions
57 Replies
6K Views
Kwa hali ilipofikia sasa ni kwamba Mheshimiwa Rais Dkt JPM alisahau kuwekeza kwa wananchi akawekeza zaidi kwenye uwekezaji wa vitu na miradi mbalimbali ndio maaana mambo yamekuwa magumu, kwa...
5 Reactions
103 Replies
9K Views
Hivi hizi awamu huwa ni miaka mingapi, maana kama ingekuwa ni kila baada ya miaka 5 nafikiri zingekuwa zimeshazidi Awamu 5. Mwenye kufahamu hili anifumbue macho.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Chama Cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimesema kuwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu kumekuwa na mwamko zaidi kwa upande wa wanawake ndani ya chama hicho, ambapo kati ya...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu Mimi niko mkoa wa Mara huku sirari mpakani na Isibania jirani kabisa na Kenya. Kwa utafiti Wangu Mkoa huuu wagombea wa CCM kwenye majimbo yote wana kazi ngumu sana kuliko mikoa yote hapa...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Kuna mambo yanayoendelea kwa wananchi wa jimbo la babati mjini kama tu CCM watafanya makosa na kurudisha jina la Pauline Gekul. Wananchi wengi wanasema wamemchoka Paulina nakusema bora hata Esta...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom