NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
MWANASIASA Mkongwe Zanzibar, Baraka Mohamed Shamte, amemtaka kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe, kabla ya kudai kumefanyika maonevu na unyanyasaji, kwanza aileze...
Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge unazidi kukaribia. Wapinzani wanaoonekana maeneo mengi ya kampeni ni Tundu Lissu na Prof. Ibrahim Lipumba.
Kumekuwa na mijadala katika maeneo mbalimbali nchini...
Leo nimefurahi sana na misimamo ya wananzengo baada ya kukuta mawakala wote hawana barua za utambulisho hadi wakala wa chama cha Jembw na Nyundo. Msimamizi msaidizi akawatoa wote nje mpaka hapo...
CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo...
Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu...
Aliyekuwa mbunge wa Kilwa kusini ndugu Selemani Bungala (Bwege) , amesema kuwa licha ya yeye kukosa Ubunge lakini Uchaguzi uliokuwa na matatizo zaidi ni wa Urais.
Amesema ameshuhudia yeye...
Kama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu...
Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi .
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa...
Kwanza kabisa sikubali mchakato wa Uchaguzi wala matokeo! Ule haukuwa Uchaguzi bali uteuzi
Pamoja na hayo, nashauri chama changu pendwa CHADEMA tumuache mbunge wetu wa Nkasi, Idah, anendeleena...
Wacha wabunge wa wapinzani washiriki vikao vya bunge lijalo, na ikiwezekana wapeleke majina ya watu wa ubunge wa viti maalumu. Maana kuhudhuria au kutokuhudhuria hakusaidii kuimarisha demokrasia...
Katika uchaguzi mkuu huu wanawake hawakubaki nyuma kuwania nafasi za uongozi kuanzia Urais, Ubunge na Udiwani. Wapo walioibuka kidedea ba wapo walioangukia pua, na hiyo ndio democrasia.
Yafuatayo...
"Taarifa ya furaha duniani inasema Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya nchi zinazokosa furaha na sisi CUF tumekuja na sera ya Tanzania yenye furaha inawezekana" - Prof. Ibrahim...
Mbatia muasisi wa Upinzani Tanzania, kijana msomi kutoka udsm ile iliyokuwa critical
Huyu kipaumbele kwake ni Tanzania, kipaumbele chake sio kuitana makamanda tu
Naweza kusema ni mpinzani wa...
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka CHADEMA endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha...
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo
Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.
CHADEMA hawana Mbunge...
Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi...
Kuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria.
Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka...
Chama tawala nchin Zimbabwe cha ZANU PF kimeitaka nchi ya Marekani kuacha kuingilia mambo ya Tanzania kwani nchi hiyo ni huru.
Source: CRI kiswahili
========
ZIMBABWE ruling party ZANU-PF has...
Kama Membe ambaye hakufanya kampeni na mwishoe alijitoa kwenye uchaguzi ameshika nafasi ya 3 ina maana angefanya kampeni angekuwa namba 2 akimzidi Tundu Lissu wa CHADEMA.
Napendekeza uchaguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.