CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa...
Nimesoma kitu kinachoitwa TAARIFA KWA UMMA iliyotolewa na Tume ya Taifa ya uchaguzi, iliyosainiwa na Mkurugenzi wake Dkt Mahera, tarehe 27/11/2020, naomba maswali yafuatayo uyajibu Dkt Mahera:-...
Taarifa zilizo rasmi za kiutafiti katika mikoa ya LINDI na Mtwara yapo majimbo takriban 11 ambayo yapo hatarini kupotea. Majimbo hayo ni kama ifuatavyo,
1. Kilwa Kaskazini
2. Kilwa Kusini...
Mheshimiwa Rais Magufuli leo acha niwashitaki hawa viumbe wawili Polepole na Bashiru kwako.
Hawa ndio watu wanaofanya leo uchaguzi unakuwa mgumu kwako kutokana na mbinu yao ya ushawishi...
Huyu mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza amekua akikusanya Watumishi wa Umma katika kila tarafa kuzungumza na kuwatisha kwamba yeyote atakayeongelea upinzani au kuupigia kura upinzani. Wakati...
Ameandika hivi kupitia twitter:
Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Mwanzoni Kabisa mwa Uchaguzi Bashiru Ally alinukuliwa akisema kuishinda ACT Wazalendo ni rahisi sana kuliko kuishinda CUF.
CCM na CHADEMA au Kama CCM itajigawa ndio vyama vitakavyochuana miaka 20...
Hapa kuna mambo yaliyopo nyumba ya pazia ambayo yamewapata hawa akina Mdee, Bulaya na Matiko.
Lakini hakuna hata mmoja aliyewawazia upande wa pili.
Wote mnachezeshwa ngoma na CCM, mnawaaccuse...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na...
Uchaguzi umekwisha,na kwa nguvu za kidola tumerudishwa katika mfumo wa chama kimoja huku kukiwa na vyama vingi vya kuzugia na kudanganyia dunia.
Haya mambo si kwa faida ya Taifa zima, bali ni ego...
Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM.
Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana.
HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI
CCM inatoa salamu za mwaka mpya...
LISSU(Opening Remarks)
Lissu: Chama chetu cha CHADEMA na chama dada cha ACT-Wazalendo tumekataa kuyatambua matokeo ya uchugazi huu, tumekataa kushiriki kwenye bunge au serikali za mitaa kwani...
ESTHER MATIKO ASUSWA NA VIONGOZI CHADEMA MKOA NA WILAYA
Ni Lucas Ngoto Mwenyekiti Mkoa, na Hamisi Nyanswi Mwenyekiti Wilaya.
Sababu kubwa ni dharau, kiburi na malingo.
Pia wanajiepusha na lawama...
Wanabodi,
Kipenga cha kuanza kwa kampeni za Uchanguzi Mkuu ujao kimepulizwa leo na fungua dimba amekuwa Chadema.
Nimeangalia kidogo kupitia live ya TBC, kiukweli nilichoshuhudia, ndicho...
Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa...
Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Chadema) na Job Ndugai (Spika)
Kuna mdau kanitumia kitabu cha Gene Sharp (2012), kiitwacho "From Dictatorship to Democracy: A Conceptual Framework for Liberation."...
Kupitia akaunti ya twitter ya Tundu Lissu,nimeona video (bila shaka ni huko Kawe, Dar-es-salaam) inayoonyesha rundo la kura zinazidaiwa kuwa ni feki huku Polisi wakishirikishwa kuzitambua/...
Ili kushinda uchaguzi slogan huwa pia na mchango mkubwa
Slogan mfano us ACT wazaledo ya Kazi na Bata ilikuwa hata haileweki inalenga nani Mkulima,mfanyabiashara,machinga ,wavuvi,, wafugaji, au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.