Mkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni?
Muendelee kupigania haki za waliodhurumiwa wakati waliopewa haki wakiendelea kutuwakilisha, vinginevyo sisi tutakuwa wakiwa hatutakuwa na...
Watanzania,
Salaam nyingi kwenu. Ninawapenda.
Mimi ni mtanzania ninayetokea mkoa wa Tanga. Leo ninataka kuongea na ninyi kuhusu Tanga. Wapo wasiojua, Ila wapo wanaoujua Ila wameamua kupotosha...
Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.
Chama hicho kilistahili...
Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea.
Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha...
Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali.
Hebu tazama...
Habari wana bodi,
Baada ya makala kadhaa za harakati za viongozi na vigogo katika awamu hii ya 5 jimboni Iramba leo macho yangu nayaelekeza Jimboni Ukerewe, hili n jimbo toka mkoa wa Mwanza, ni...
Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu.
==========
TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah...
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na...
Amani kwako.
Maandiko yanasema.
Warumi - Romans 13:
1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamriwa na Mungu.
2 Hivyo amwasiye...
Sema unataka kugombea jimbo gani na chama gani ili upate ushauri na Watu wa kukuunga Mkono....
Mimi nagombea Mtera-Dodoma.
Chama-Chadema
2020-2025
Naomba kama naweza kupata ushauri
Sent using...
Vijana ni kundi kubwa, muhimu na linaloongoza kwa uwingi wa idadi kubwa ya watu hapa Tanzania na kwasasa inaarifiwa zaidi ya asilimia 65 ya Watanzania wote ni vijana. Vijana ni kundi kubwa lenye...
Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni.
This time wameenda mdanganya Membe...
Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako...
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania.
Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike...
Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Waziri mkuu
Chanzo: Mwananchi online
====
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani...
Na: Mh Tundu Lissu
Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu. Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana na...
Baada ya sheria mpya kupitishwa iliyofuta FAO LA KUJITOA na kuja na mbadala wake wafanyakazi wengi hususani katika sekta binafsi walionja na wanaendelea kuonja joto la jiwe kutokana na...
Kwa wale Wahenga mnaokumbuka vizuri ni sababu gani za msingi zilimfanya Daktari huyu wa Falsafa kuamua kujishusha cheo?
Maendeleo hayana vyama!
cc: Pohamba
====
Ana rekodi ya miaka 10 ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.