1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu.
2...
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care
Ninachosema ni kwamba...
CCM OYEEEEEEE!
Kwa mara ya kwanza tangu Taifa letu liwe huru tunaenda kushuhudia chama tawala kikienda kuweka historia mpya kama ilivyo hulka yake kwa kuzindua kampeni za uchaguzi kwa namna ya...
Sitaki kuwafundisha kufanya maamuzi lakini mnatakiwa mtoe adhabu kali kwa wanaowatisha kua msipowachagua watawanyima Maendeleo. Wakataeni hawa na waonyeshe ni kua mmechukizwa na kauli hizi...
Kama mwana ccm mkereketwa naomba uongozi wa juu hasa kamati kuu ya ccm, ambayo itahusika na uchujaji wa majina ya wagombea watakao peperusha bendera ya ccm kwenye uchaguzi mkuu October mwaka huu...
Mengi yalisemwa kuhusu YEYE pale aliposhambuliwa kwa jaribio la kioga ili kuweza kupoteza maisha yake. Zilijengwa hoja hafifu ili kuhalalisha udhalimu ule, kumbe wabaya wake hawakutambua ili mbegu...
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. ( aboodmediatz )
Mwijaku achukua fomu...
"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? Ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11, hivyo viwanja vyote...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Kamarada Humphrey Polepole leo Jumamosi Oktoba 17, 2020 atazungumza na Vyombo Vya Habari.
---
Mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli Oktoba 19, 2020 ataendelea...
Tume Ya Uchaguzi (NEC) Leo Itafanya Uteuzi Wa Wagombea Nafasi Mbalimbali Kwenye Uchaguzi Ujao:-
Nafasi Ya Rais, Makamu Wa Rais, Wabunge, Madiwani
Vyama Vyenye Usajili Ni Kumi Na Saba (17)...
Mungu si mwanasiasa bali wanasiasa wana miungu. Shetani si mwanasiasa bali wanasiasa wana vishetani vyao.
Siasa ni imani lakini siasa sio dini. Siasa ina wafuasi na dini pia ina wafuasi, lakini...
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku...
Ndugu zangu,
Imenilazimu kusafiri kilometa takribani 1000 ili kumuonesha Robert Amsterdam kuwa hawezi kutupangia nani awe Rais wa Tanzania.
Ushindi upo ila tunataka uwe wa kishindo ili akome...
Ndugu Paul Makonda Ukuu wa mkoa ndio ulikuwa unampendeza na kumpa mamlaka ya Nguvu kuliko huo Ubunge anaouhitaji,
Japokuwa Ukuu wa Mkoa ni nafasi inayotegemea mteuaji ameamkaje kwa siku...
Kuna maeneo nimesikia sikia maneno ambayo yanahusu urais wa zanzibar ujao, maana Shein anamaliza mda wake,
Wanatajwa kina Vuai, kina Hussein Mwinyi, hata karume mdogo anataka kujitosa huko, kuna...
Chama cha Mapinduzi kiliahidi Wananchi ahadi kedekede mwaka 2015 kupitia Ilani yao. Hata hivyo utekelezaji wa Ilani Katika miaka 5 ni 31% tu hivyo kupata alama D. Baadhi ya maeneo ambayo CCM...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inayashikilia magari 10 ya wagonjwa ambayo yalikuwa yagawanywe kwa kata 10 za Jimbo la Same Magharibi na Mbunge wa Jimbo hilo Dkt. Mathayo David...
KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA?
Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.